Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Pia soma:
~ DOKEZO - Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho
~ Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yafafanua madai ya kutoa mafunzo ya Mitaala kwa Walimu bila kuwapa posho
Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.
Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=
Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.
Uthibitisho kutoka kwa wadau wengine:
Mfano mwingine wa tukio kama hilo

nilikuwa nachat na anko angu ticha, akaniambia ni kweli hizo mbanga, yeye yupo arusha wameambiwa hiviView attachment 3214716
Jamaa yangu Arusha kasema mafunzo yatafanyika Jan 30-31 kwa walimu wote wa public na private wanaofundisha form one, na posho ndio hiyo. Ni huzuni na fezea
Mfano mwingine wa tukio kama hilo
Mkoa flani pembezoni mwa nchi walipewa semina siku mbili kwa malipo ya jumla ya tsh9000/= nasikia hawakuani. Ni aibu sana kwa serikari!