DOKEZO Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

DOKEZO Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.

Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=

Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.

Attachments

  • images (93).jpeg
    images (93).jpeg
    38.2 KB · Views: 2
Hii kada imejaa wajinga sana.
Kada zingine posho za nje ya ofisi kuanzia laki na nusu kwa siku posho za mafunzo au semina za ndani sh. 75k per day . Ila Hawa wanakubali kulipwa sh. 30k kwa siku .
Kweli mfano ustawi chini ya manispaa kikao cha ndani cha kawaida 40000 per day iko kinasimamiwa na manispaa nje ya manispa mfano now wiki ya sheria kutoa elimu per day 50000 na upo ndani ya manispaa ukitoka na hapo bado mashirika yalio zamini hawaja wasainisha unakuta shirika moja linawasainisha 100000 per day sijawai ona mtu wa ustawi kasain posho ya 20000 kushuka chini
 
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.

Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=

Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.

Bora waseme hakuna posho kabisa kuliko kumlipa Mtu mzima afu tatu.
Halmashauri zina ujinga mwingi sana
 
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.

Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=

Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.

Ni uongo promax , acha kupotosha uma
 
Bora hiyo elfu tatu. Mwaka jana walipewa maji ya kikao basi..

Ila walimu sijui nani aliwaloga kwakweli.

Na hapo sasa utakuta wamejazana haswa .

Hushangaii walimu wana miezi sita hawajalipwa shule flani hata mia ila wapo tuuu.. Daah
Mkuu hivi unajua vitisho na kash kash wanazopewa wasipohidhuria hivyo vikao? Ulizia vzr ujulishwe!
 
Elfu tatu inatoshaje kwenye chai na nauli?
Kasome vizuri uzi bro, bado mkandarasi wa Chai atapeleka madai yake kwa RAO halafu RAO nae kuna sehemu atapeleka ndio mshindi wa tenda ya Chai atalipwa, hadi hapo bado unaamini Chai ni jero 6?
Serikali inadhalilisha sana kada ya elimu, inaonekana kama ualimu ni kazi ya laana kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom