DOKEZO Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yani ni km akili zimeganda πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ni vile hawapendani tu

Mwaka 2015 JPM alipata sapoti kubwa ya Wataalamu waliofanya nao kazi kwenye Sekta ya Ujenzi tangu miaka ya mwishoni mwa 90

Naye alipoingia madarakani, aliwateua wengi sana kwenye nafasi mbalimbali hadi mmoja kufikia kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
 
Si haba...
 
Duh
 
Nilivyo elewa mimi.

Hiyo pesa watasaini ila hawatapewa mkononi ila watahudumiwa chai,hizo saini zao ni kwajili ya kuandikia pesa ili alipwe aliehudumia chai
We ndo umeelewa vizuri, kiufupi humo hamna posho ni just kulipiwa chai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…