ELIZAYO LAMU
Member
- May 5, 2020
- 11
- 24
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya kwenda kazini ni kufanya kazi siyo kusaini .
Wakuu wa shule na maafisa Elimu kata watoa maagizo kwa walimu wao
SASA KUSAINI NA KURUDI NYUMBANI MAANA YAKE NINI ?
Kuna viongozi wanatoa maagizo wakiwa unconscious kabisa yaani πππππ
KWA HIYO WALIMU KUPUMZIKA IMEKUWA NONGWA