Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

ELIZAYO LAMU

Member
Joined
May 5, 2020
Posts
11
Reaction score
24
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!

Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya kwenda kazini ni kufanya kazi siyo kusaini .

Wakuu wa shule na maafisa Elimu kata watoa maagizo kwa walimu wao

SASA KUSAINI NA KURUDI NYUMBANI MAANA YAKE NINI ?

Kuna viongozi wanatoa maagizo wakiwa unconscious kabisa yaani 😃😃😃😃😃

KWA HIYO WALIMU KUPUMZIKA IMEKUWA NONGWA
 
Ni kweli Make hata Simiyu mkuu wa Mkoa kafanya kikao na waalimu,na kuwataka wahudhurie shule kuwafundisha wanafunzi .Ila kwa sharti moja wanafunzi wametakiwa kuja wamevaa nguo za nyumbani.Anaebisha apige simu huko Bariadi aulize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani Kuna ubaya ganii ukienda ukasaini Kisha ukasepa......hii inasaidia kuondoa watumishi hewa,je kama baadhi wamekuf kwa Corona? pia hacha ulalamishi mwalimu na hii inaanzia tangu mkiwa chuonii mkiona huwa mnaonewa Kila wakati
 
Ni matumizi ya hovyo ya nauli na muda.
 
Ni kweli Make hata Simiyu mkuu wa Mkoa kafanya kikao na waalimu,na kuwataka wahudhurie shule kuwafundisha wanafunzi .Ila kwa sharti moja wanafunzi wametakiwa kuja wamevaa nguo za nyumbani.Anaebisha apige simu huko Bariadi aulize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sare za shule ndio zinaleta Corona?

Achukuliwe hatua huyo Mkuu wa Mkoa kwa kutofata maagizo ya Waziri Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili

Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo

Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa
Ni kweli Make hata Simiyu mkuu wa Mkoa kafanya kikao na waalimu,na kuwataka wahudhurie shule kuwafundisha wanafunzi .Ila kwa sharti moja wanafunzi wametakiwa kuja wamevaa nguo za nyumbani.Anaebisha apige simu huko Bariadi aulize.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani Kuna ubaya ganii ukienda ukasaini Kisha ukasepa......hii inasaidia kuondoa watumishi hewa,je kama baadhi wamekuf kwa Corona? pia hacha ulalamishi mwalimu na hii inaanzia tangu mkiwa chuonii mkiona huwa mnaonewa Kila wakati
Kwahiyo Mwalimu atoke Manyara aende Songwe au Biharamulo kila siku kusign na kurudi? Ilihali Waziri Mkuu alitangaza kuwa waende manyumbani kwao mpaka serikali itakapotoa ruhusa ya kurudi tena shuleni.

Tumieni akili za kichwani na sio za Makalioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom