Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

Mkuu watoto watafata maswali kwa nani Kama walimu hawapo? Walimu wanatakiwa wawepo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ipo kwastyle hii walim tusitafute mchawi wetu tunajiloga wenyewe ama alietuloga ameshakufa ktambo wengne wanalilia muda sisi tunaona muda upo mwingi mpaka wakupoteza!!! Duuu hapa kaz ipo mimi pia ni mwalim lakn hili siliungi mkono labda kama kunamajukum yakuinua taaluma tunaenda kufanya vngnevyo hakuna mantiki huu unakuwa ni ukolon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu kule kaunga mkono bhana hii nchi alieiloga cjui alitumia dawa gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii taarifa ilihitaji ushahidi kidogo,lakini kamka ni hivyo kwani kuna ubaya gani,kwa sababu hao walimu wenyewe hawajajiongeza na kutulia majumbani mwao.
 
Umeongea kama Afisa Elimu halmashauri, hahaha haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana chuki na walimu hii nchi sijawahi ona shuleni unaenda kufanya nini kwa mfano na kazi hamna kama mtu umeandika kila kitu unadaiwa nini tena zaidi ya kuidai serikali wafungue shule acheni ujuha waacheni walimu wapumzike kama ina wauma mngeomba kuwa walimu mijitu mingine kufelisha mitoto yao wapate akili
 
Mkuu Acha kumlisha waziri mkuu maneno, waziri atoa amri ya shule kufungwa na si walimu kwenda kwao, kama umeenda songwe bila kumtaarifu mkuu wako wa kazi jua hilo ni kosa kisheria mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umtaarifu Mtu ambaye yeye ndiye aliyekutangazia na kukupa ruhusa ya kwenda kwenu?

Wewe unajua waalimu waliondokaje mashuleni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sahihi kabisa, lazima kila siku mwalimu afike kusaini kitabu cha mahudhurio maana wanaendelea kulipwa kama kawaida japokuwa hawafanyi kazi, ule mshahara ni sehemu ya nauli/usafiri, sehemu ya vocha, sehemu ya kodi ya pango, sehemu ya chakula nk.
kunakuwako kazi ndogo ndogo za kufanya waalimu wafanyie kazini, lazima waendelee kufika shule kwa muda mfupi na kurejea majumbani kwao
 
Mashudu 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…