kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #101
WivuNyie choka mbaya na ujinga wenu wa kutembea peku peku eti watu wawaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WivuNyie choka mbaya na ujinga wenu wa kutembea peku peku eti watu wawaone
Bora wewee sisi tulikuwa na cruiser nyekundu Airport enzi za wanyonya damu wakalianzisha wakiona gari nyekundu tu nnyonya damu mpaka kesho wanaita kwa mnyonya damu hahaha mwamba alipoona shida akawalete citron....Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake.
Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu akiwa na mafanikio huitwa majina yote mabaya pasipo kujali uhakika wa madai hayo..
Siku moja ya jumapili, mzee alikuwa nyumbani na kama Kawaida yake jioni hupendelea kutoka na kwenda jirani kidogo na nyumbani kwa lengo la kukutana na kubadilishana mawazo na wadau ( kijiweni).
Baada ya kufika kijiweni, kwa bahati mbaya sendo aliyokuwa amevaa ikakatika na ikabidi ampe fundi viatu kwani hakuwa mbali na pale, alibaki na kiatu kimoja na alikataa kuvaa ndala ambazo alipatiwa na fundi.
Mwisho akaona amuachie fundi viatu vyote viwili ili arekebishe vyote, yeye akabaki peku kwa muda wa zaidi ya nusu saa huku akiwa bado anazunguka huku na kule.
Watu walimuona na kuanzia hapo maneno yakaanza, kwamba mzee amepewa masharti atembee peku, wengine wakaanza kusema ni Freemason.
Baada ya wiki kadhaa kupita, taarifa zikamfikia bimkubwa na akamweleza mzee kwamba mtaani watu wanasema hayo maneno, mzee hakupata wasiwasi na alicheka tu.
Ikafika jumapili nyingine, mzee akaona ngoja achochee moto vizuri kwani alikuwa ni mtu ambaye anapenda kucheza na akili za watu hasa wajinga, basi akaondoka nyumbani bila viatu (peku) akaenda kijiweni na akakaa huko kwa muda mrefu.
Watu walimuona na wakazidi kusema na kuzidi kumshutumu na ulozi, mzee hakujali na alifanya hivyo makusudi. Walikuwa na wasiwasi na mambo yake kwasababu hakuna aliyekuwa anajua mzee anafanya mishe au shughuli gani ambazo zinampa kipato.
Kwa sasa mzee wangu ni marehemu, Mungu amfanyie wepesi huko alipo, alikuwa mtu jasiri asiye yumbishwa na maneno ya walimwengu.
FUNZO: Wakiamua kukukanyaga kwa bahati mbaya na wewe walipue kwa makusudi.
Dah, kwaiy wakadhani mzee anachinja watu na kuwanyonya damu 😂🙌Bora wewee sisi tulikuwa na cruiser nyekundu Airport enzi za wanyonya damu wakalianzisha wakiona gari nyekundu tu nnyonya damu mpaka kesho wanaita kwa mnyonya damu hahaha mwamba alipoona shida akawalete citron....
Ndioo maanake mkuu mpaka leo baadhi wanaamini hivyo sasa nikanza kulipaki bar kidogoo wakaona kumbe anaishi na watu maana mzee alikuwa akingia atoki mpaka aende issue zake..aisee polee sanaasanaaDah, kwaiy wakadhani mzee anachinja watu na kuwanyonya damu 😂🙌
Lakini maskini hawakosi maneno ya kusema, wengine ndyo huwa wachawi kabisa
Mzee naye alikuwa anafahamu kwamba wanamuita hivyo? Na alikuwa anawajibu niniwalianza gari lammnyonya damuu lilee wakaja kusema mnyonyoa damu sasa tulipoanza kudrive na kaka wakanza kuita watoto wa mnyonya damu n mtihani
Wa KUTEMBEA PEKU PEKU? SI WAZIMU HUOWivu
ChukiWa KUTEMBEA PEKU PEKU? SI WAZIMU HUO
Wengine wapo tayari kufanya figisu ili mambo yasiende, Lakini kwa uwezo wa Mungu hawezi kuruhusu maskini wa fikra na kipato wakakwamisha Juhudi na mafanikio ya wengine. Shukran sana mkuuNdioo maanake mkuu mpaka leo baadhi wanaamini hivyo sasa nikanza kulipaki bar kidogoo wakaona kumbe anaishi na watu maana mzee alikuwa akingia atoki mpaka aende issue zake..aisee polee sanaasanaa
YA KUTEMBEA PEKU PEKU?Chuki
Hasira za kuwa maskiniYA KUTEMBEA PEKU PEKU?
Hata mimi kama sijavaa sox huwa sivai kobaz za fundiShida inanzia kwanini marehemu alikataa kuvaa ndala za fundi,wakati ni kawaida baadhi yetu kufanya hivyo