Walimuita Baba yangu majina ya ajabu, Freemason, mchawi

Walimuita Baba yangu majina ya ajabu, Freemason, mchawi

Imawezekana lkn ni kwa asilimia ndogo sana,huyo mzazi alikuwa na mambo yake mengine,kama ulivyosikia siku nyingine akatembea peku peku ili kuwapima watu ujinga,je inaleta maana kweli?
Sio kuwapima watu ujinga ila alifanya hivyo ili kuwaonesha yeye hajali maneno yao na kama wanataka kusema basi waseme zaidi
 
Tuliopata kusoma zamani kabla ya ELIMU BURE maneno MZEE WANGU NA BI MKUBWA TAASIRI ZAKE NI HIZI HAPA;

MZEE WANGU. Haya maneno ama jina hili utasikia likitamkwa na mwanamke aliyeolewa na hapo atakuwa akimaanisha MMEWE.

Kwa namna nyingine haya maneno yatatamkwa na mtu hawaye yeyote akimaanisha HESHIMA kwa mtu mwanamme mwenye umri sawa na baba yake ama kumzidi baba yake.

Bi MKUBWA; Huu ni UTAMBULISHO kutoka kwa mwanaume mwenye wake ZAIDI YA MMOJA kwa kumaanisha kwamba huyu Bi MKUBWA ndiye MTANGULIZI hivyo kuna Bi MDOGO ambaye ni MKE wake wa MWISHO.

Sasa nije kwako dogo, wewe hayo maneno MZEE WANGU na Bi MKUBWA umeyatumia ukiwa una maanisha nini?
 
Sio kuwapima watu ujinga ila alifanya hivyo ili kuwaonesha yeye hajali maneno yao na kama wanataka kusema basi waseme zaidi
Ila kwa upande wangu sioni kulikuwa na haja gani ya kufanya hivyo hata kuhatarisha afya yako,anyways tumuachie marehemu mwenyewe
 
Ila kwa upande wangu sioni kulikuwa na haja gani ya kufanya hivyo hata kuhatarisha afya yako,anyways tumuachie marehemu mwenyewe
Hilo ni moja ya jambo la kushangaza ambalo amewahi kufanya, yapo mengi ya kushangaza zaidi
 
Back
Top Bottom