The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Vyote kwa pamojaPumba au utumbo? Mbona hueleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote kwa pamojaPumba au utumbo? Mbona hueleweki
Bas SawaVyote kwa pamoja
Mzee mmoja ni mlokole sana haitwi jina lolote baya lakini mabinti zake watatu wanazeekea nyumbani tu hakuna wa kuwaoaSio sifa nzuri,watu wataogopa kuoa au kuolewa kwenye familia yenu,hata mwanaukoo akifa ghafla mtaambiwa mmemtoa kafara,bora kuitwa mwizi,jambazi ila sio mchawi
UnyamaBas Sawa
Huwa naenda lakini siyo peku mkuu, hapo nitazidisha manenoSiku na wewe nenda hapo kijiweni ukiwa peku waseme umeridhi ulozi kutoka kwa mzee
Alikua anafanya kazi gani ambayo ni siri yake peke yake mzee wakoSimjui baba yangu kivipi, nilikuwa najua shughuli zake zote na hakuna chonzo chochote cha mapato ambacho kilikuwa na utata au kuhusiana na hayo mambo machafu.
Alikuwa mfanya biashara, ila hakuwa mtu wa kusema mambo yake kwa watu ambao sio wa karibu.Alikua anafanya kazi gani ambayo ni siri yake peke yake mzee wako
Hii inamaanisha biashara zake alikua anafanyia mbali sana ,pengine nje ya mkoa sioAlikuwa mfanya biashara, ila hakuwa mtu wa kusema mambo yake kwa watu ambao sio wa karibu.
Hao wadada awajasoma wakajitafutie maisha yao au wakajishughulishe mbali na nyumbaniMzee mmoja ni mlokole sana haitwi jina lolote baya lakini mabinti zake watatu wanazeekea nyumbani tu hakuna wa kuwaoa
Biashara ilikuwepo hapa dar, na zilikuwepo branch zaidi ya moja.Hii inamaanisha biashara zake alikua anafanyia mbali sana ,pengine nje ya mkoa sio
Mkuu, Kuendekeza au kuendeleza?umeweza kuendekeza mali za baba yako?
kuendeleza?Mkuu, Kuendekeza au kuendeleza?
Bado ni mapema kusema kuhusu hilo kwani ni miezi saba mpaka sasa tangu mzee aage duniakuendeleza?
Ufuta.Ukwasi ni kitu gani mkuu,pesa au?
Mzee hakuwa na hiyo bidhaa au hilo zao, hakuwa mkulimaUfuta.
hakukupa mbinu anazotumia kupata ela?Bado ni mapema kusema kuhusu hilo kwani ni miezi saba mpaka sasa tangu mzee aage dunia
Mzee wako alikuwa ana akili sana. Anajua hizo ndala na sandals za mafundi viatu ni chanzo kikuu cha fungus za miguu I.Sijui kwanini alikataa