Tetesi: Walinzi wa Prof. Lipumba waanza utekaji wa viongozi wa CUF

Tetesi: Walinzi wa Prof. Lipumba waanza utekaji wa viongozi wa CUF

Hii Kali sasa yaani wanataka hadi kuuwana kisa uwenyekiti yaani dah ngoja nisiseme neno mpaka wakipelekwa mahakamani
 
duh km movie yanii wananchi wameizunguka gari na jamaa amesepa??? huyo aliyetoroka wananchi na polis bila ya shaka atakuwa jet lee
 
Sijui kwanini siku zote movie za ccm hazina viwango halafu zimejaa makosa mengi ya kiufundi?
Hapa walitaka kubalance story lakini wamebugi tena loh...!!!
 
Kwa hiyo CUF wameshirikiana na policeccm kutengeneza movie dhidi ya Lipumba?
Hata mtoto mdogo atakucheka kwa akili hiyo. Wangesema watu hao walikimbia wote ingeleta mashaka lakini watu wako kituoni mashaka yako wapi?
Tukubali ukweli japo hatuupendi
Mkuu ningependa urudie kusoma kwa kina mstari kwa mstari, neno kwa neno harafu uje kunishtumu hapa.
 
Sijui kwanini siku zote movie za ccm hazina viwango halafu zimejaa makosa mengi ya kiufundi?
Hapa walitaka kubalance story lakini wamebugi tena loh...!!!
Mungu hapendi wanavyofanya ndiyo maana amesimama kuanika ukweli.
 
The writing is too perfect to be true... Nashangaaga kuona Propaganda za namna hii zinapataka nafasi vichwani kwa watu.
 
Katika hii tetesi kuna sehemu imeandikwa "Tukio hili linafanana na matukio kadhaa yaliyotokea huko nyuma na mfano utekwaji wa Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda , Salma Said Kubenea na wengine."
Ina maana CUF ndio waliokuwa wanafanya hayo matukio?
 
Kwamba vijana hao wanajulikana kwa kazi hiyo! Ina maana walikuwa wakiifanya siku zote wakiwa CUF? Hatari. Taratibu mtaanza kitajana.
 
Ili naona uongo unasema walizingirwa na wananci wakajaa wakaliekea magogo mbele na nyuma police wakaitwa wakafika eneo la tukio mmoja akatoroka uongo uliokubuuu kabisa
Hugo mmoja alitoroka mbele ya umma wrote huo na

Pole sana kama ni mfuasi wa Prof. ila tumia kichwa chako kufikiri mtu atatungaje maneno yote hayo ayapangilie hivyo alafu yaletwe hapa bila mod kuondoa hii thread., nia yenu haikutimia munajidhalilisha, soma majina ya watu waliokamatwa hadi mlinzi wa Lipumba na Sekaya wameshikwa pmja hii ni aibu kwenu wafia maji.
 
Back
Top Bottom