BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Chai tamu sana inaonekana[emoji2962][emoji2962][emoji2962]View attachment 2423558
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai tamu sana inaonekana[emoji2962][emoji2962][emoji2962]View attachment 2423558
Hahaha dahNingetamani kuskia kadumbukia kwenye hilo likisima.
Kwani aweso si yupo hapo, atamdaka.Angalia walinzi wameweka umakini sehemu gani?
Kwa mfano akajisikia vibaya kama ilivyotokea kwa Kikwete jukwaani au kwa Magufuli alipoona moshi kule Ruangwa nani angemdaka Mh.Samia?
Hujawai kujisikia kizunguzungu ghafla?
Walinzi wote hadi mpambe (Aide de camp) wametazama pembeni , hapa walinzi wa jinsia ya kike wamewaangusha wanawake wenzao.
Rais kaegemea sehemu ambapo panaonekana ni dhaifu, akiteleza au akajisikia vibaya wako wapi psu wa kumsaidia kwa harak? Nimeelewa hivyo mtoa madaPicha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413
Punguza uchawa kwa hayati basiKazi nzuri ya magu.
Aliwapa wengi nafasi.
Hapo hatari iko wapi? Au samia hajiwezi hadi ashukiliwe? Acha uchawa.Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413
Wakati wa Magufuli wanawake wengi walipata nafasi ya kuingia jeshini.Punguza uchawa kwa hayati basi
Walimuona Awesu yupo incase angesaidia siyo muda wote kumbana hata ashindwe kuwa karibu na watuAngalia walinzi wameweka umakini sehemu gani?
Kwa mfano akajisikia vibaya kama ilivyotokea kwa Kikwete jukwaani au kwa Magufuli alipoona moshi kule Ruangwa nani angemdaka Mh.Samia?
Hujawai kujisikia kizunguzungu ghafla?
Walinzi wote hadi mpambe (Aide de camp) wametazama pembeni , hapa walinzi wa jinsia ya kike wamewaangusha wanawake wenzao.
Ina maana walitakiwa kumshikilia kama mtoto anayeweza kuamua kutumbukia kwenye kisimaPicha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
Huyo ni rais wa nchi yenye amani duniani sidhani kama anahitaji ulinzi kama wa KagameView attachment 2423416
Aweso ana ujuzi na mafunzo ya kuwalinda VIP au kutoa huduma ya kwanza.Walimuona Awesu yupo incase angesaidia siyo muda wote kumbana hata ashindwe kuwa karibu na watu
As long as kuna kinga kwenye shimo na hakuna mtu yeyote aliyejificha ndani ya shimo hilo, hapa mimi sina tatizo na namna ulinzi ulivyokaa hapa. Tatizo lingekuwepo tu kama kungekuwa na watu mbele yake au ndani ya shimo lilo mbele yakePicha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413
Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413this isnt important to us