Sio hawafai wana stress za kukosa bakabaka sasa unakuta wanakuwa na hasira hasira akija ona wewe ni raia anataka akuonyeshee kuwa nae ni soldierKama ni hivyo hawafai kuingia kwenye JW.
Mbona wanapunjwa hivyo?Mshahara wao Ni 100k kwa mwez halafu unategemea Nini?
Libaki hivyohivyo na hawaruhusiwi kuandamana.Mbona wanapunjwa hivyo?
Bila shaka ni Ifm hiyoNikiwa chuo fulani posta mwaka wa 2 nikanunue kigari nikawa naenda nacho chuo,sasa ilikuwa sina kibali basi kila nikiingia naombwa hela ya maji,nikitoka ya maji,nikaona siyo issue kihivyo.
sasa siku hyo ile natoka tu nakaribia getini pancha hyo na spare tyre sina,hapakuwa hata na mmoja aliyekuja nisaidia pale getini na kunifokea juu mie nkawa nawachora tu,nikaenda ziba pancha nikasepa zangu.
siku ya pili nilifatilia kibali nikakipata,ilikuwa ni mwendo wa kupiga honi tu na kufunguliwa mpaka namaliza chuo sikutowaga tena hata cent japo najua walinichukia
Siyo 100k mkuu ni 200kMshahara wao Ni 100k kwa mwez halafu unategemea Nini?
Ni Tsh 170,000Mshahara wao Ni 100k kwa mwez halafu unategemea Nini?
Sio hawafai wana stress za kukosa bakabaka sasa unakuta wanakuwa na hasira hasira akija ona wewe ni raia anataka akuonyeshee kuwa nae ni soldier
Unajua bado wanajiona ni zaidi ya polisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara wao Ni 100k kwa mwez halafu unategemea Nini?
Mbona wanapunjwa hivyo?
Mbona wanapunjwa hivyo?
Hamjui tu stress za kupitia mafunzo ya kijeshi zaid ya miaka 5 af mwisho wa sku unaambiwa chagua kurudi nyumban au ukawe mlizi suma JKT ttzo kubwa linalowatesa ni stress za kukosa nafas ya kua Mwanajeshi
Ni Tsh 170,000
Ni kwanini unaona sawa Watanzania wenzetu kudhulumiwa.Hiyo inawatosha kwanza wengi wao ni wanywa gongo
Kuna chuo fulani waliomdolewa . walikua kero si kwa wanafunzi tu hadi wafanya kaziWalinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.
Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu
Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe
Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya
Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi
Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Kuna chuo fulani waliomdolewa . walikua kero si kwa wanafunzi tu hadi wafanya kazi