Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

Nikiwa chuo fulani posta mwaka wa 2 nikanunue kigari nikawa naenda nacho chuo,sasa ilikuwa sina kibali basi kila nikiingia naombwa hela ya maji,nikitoka ya maji,nikaona siyo issue kihivyo.

sasa siku hyo ile natoka tu nakaribia getini pancha hyo na spare tyre sina,hapakuwa hata na mmoja aliyekuja nisaidia pale getini na kunifokea juu mie nkawa nawachora tu,nikaenda ziba pancha nikasepa zangu.

siku ya pili nilifatilia kibali nikakipata,ilikuwa ni mwendo wa kupiga honi tu na kufunguliwa mpaka namaliza chuo sikutowaga tena hata cent japo najua walinichukia
Bila shaka ni Ifm hiyo
 
Hamjui tu stress za kupitia mafunzo ya kijeshi zaid ya miaka 5 af mwisho wa sku unaambiwa chagua kurudi nyumban au ukawe mlizi suma JKT ttzo kubwa linalowatesa ni stress za kukosa nafas ya kua Mwanajeshi
 
Hamjui tu stress za kupitia mafunzo ya kijeshi zaid ya miaka 5 af mwisho wa sku unaambiwa chagua kurudi nyumban au ukawe mlizi suma JKT ttzo kubwa linalowatesa ni stress za kukosa nafas ya kua Mwanajeshi

Hahahahah
 
Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa.

Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu

Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za Maisha msituletee sisi hatukuwalazimisha mkalinde mageti na hiari yako mwenyewe

Suma jkt wamekuwa kero bora waondolewe wapewe tender kampuni za watu binafsi at least hao wana busara na wanajua nini wanafanya

Kipindi cha nyuma kampuni za watu binafsi zilizokuwa zinalinda hazikuwa na mambo ya ajabu hivi

Suma jkt mnaboa na mnakera sana mnafanya kazi zenu bila kutumia akili mnatumia nguvu kwenye kila kitu na mnaongoza kuwa na lugha chafuu sana
Kuna chuo fulani waliomdolewa . walikua kero si kwa wanafunzi tu hadi wafanya kazi
 
Back
Top Bottom