Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

Hatukatai pia kuwaunga mkono Congo ila tusibagazwe kisa tunawaunga mkono Wapalestina.
 
Hata Ukraine wapo. Lkn kwa sasa tupo kuhaami msikiti uliopo Palestina yaani Aqswa. Unajua wewe bwege umuhimu wa masjid Aqswa ?
Maralia imeshakupata kichwani, kwa taarifa yako huo msikiti unasimamiwa na Jordan. yaani umeshupaa shingo mmatumbi ya bongo!
 
Isreal anawapiga waislam wa Palestina na kuwapora ardhi yao.

Muislam hatizami mwarabu anatizama masjid Aqswa iliopo Palestina inayokaliwa na mabavu na mayahudi
Kongo kuna nini?
Nilijua Wapumbavu watajitokeza!! Hapo ulipo unajiona muaraaaaaaaabu
 
wewe ukiwa na uchungu na wakongomani inatosha, tusipangiane we mzee! Halafu we jamaa hivi kichwani upo timamu kweli?
 
Mkuu umeongea pointi
 
Hata Ukraine wapo. Lkn kwa sasa tupo kuhaami msikiti uliopo Palestina yaani Aqswa. Unajua wewe bwege umuhimu wa masjid Aqswa ?
Huo mskiti ulijengwa mwaka gani ??
Na kwanini ujengwe katika eneo la helaku la mfalme wa wayahudi lililobomolewa na warumi?
 
Mkuu hivi waislamu waarabu mbona hawasaidii waislamu wa somalia nigeria na mali na niger na DRC wanaotaabishwa na makundi ya boko haram na makundi mengine ya waasi kama kweli al muslim akhul muslim?
Kesi ya nyani haiwezi ikaamuliwa na ngedere. Never.
 
Isreal anawapiga waislam wa Palestina na kuwapora ardhi yao.

Muislam hatizami mwarabu anatizama masjid Aqswa iliopo Palestina inayokaliwa na mabavu na mayahudi
Kongo kuna nini?
Mjinga wewe
 
Ulevi wa dini umewapofusha macho hawawezi kuona kuwa kuna ndugu zetu wa DRC wanakufa na kuteseka sababu ya vita. Wao wanawaza watu ambao wanatuona nyani tu
 
Isreal anawapiga waislam wa Palestina na kuwapora ardhi yao.

Muislam hatizami mwarabu anatizama masjid Aqswa iliopo Palestina inayokaliwa na mabavu na mayahudi
Kongo kuna nini?
=Wayahudi
Tumia lugha fasaha u asawa kama wapalestina wakiitwa MAPALESTINE ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…