Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

Siyo kuwa mnaposhangilia wasiokuwa na hatia Gaza, kumbukeni ufwedhuli kama huo unaendelea DRC?

Ufwedhuli kokote haukubaliki.
 
Siyo kuwa mnaposhangilia wasiokuwa na hatia Gaza, kumbukeni ufwedhuli kama huo unaendelea DRC?

View attachment 2902219

Ufwedhuli kokote haukubaliki.

Wewe mvaa kobaz wa kwanza kuja huku kuongea wanayopitia ndugu zetu weusi wenzetu, siku zote mumekomalia kuwalilia Waarabu kule.
 
Wewe mvaa kobaz wa kwanza kuja huku kuongea wanayopitia ndugu zetu weusi wenzetu, siku zote mumekomalia kuwalilia Waarabu kule.
Mvaa kobaz mbona ni wewe ndugu?

Your browser is not able to display this video.

Kwa wastaarabu ufwedhuli hauna rangi!

Bure kabisa!
 
Kuna ndugu yangu Yuko ni mjeda. Na Kwa Sasa Yuko front line kuwaondoa m23 huko Kingo. Anasema Hali inatisha huko Kwa mauaji ya kutusha mno. Kuna Picha huwa ananitumia zinatisha ni unyama ambao unatisha mno..

Na anasema wafadhili wakuu ni USA wa hayo makundi.
 
Hali ni mbaya Sana Congo Kwa kweli na mbaya zaidi wanauana wenyewe Kwa wenyewe.. waafrika tuna akili ndogo sana Tena Sana. Na sisi ndo watu wa kuwa na IQ ndogo sana hapa Duniani. Mzungu anatuchonganisha tunachinjana kama kuku..
 
Isreal anawapiga waislam wa Palestina na kuwapora ardhi yao.

Muislam hatizami mwarabu anatizama masjid Aqswa iliopo Palestina inayokaliwa na mabavu na mayahudi
Kongo kuna nini?
Kumbe ni vita ya kidini? uzuri uislamu hauna jeshi la kwenda kusaidia hamasi.
 
Vita ya Congo haiwezi kua sawa na vita inayoendeshwa na wazayuni wauaji mashoga na makatili
Congo wanatakiwa eidha wakae chini watatue tofauti zao ama waongeze nguvu dhidi ya hao waasi mamluki wa magharibi kupitia rwanda
Ila Palestine inatakiwa iungwe mkono na kila mpenda haki mpenda amani mchukia ushoga sababu Palestine wanapambana na vyote ama yote hayo kwa wakati mmoja
 
Nduguyo yupo sahihi zaidi western ndio wafadhili wakuu kabisa wa M23 kwakila hali
Dunia hii hasa Africa haiwezi ikawa na amani ikiwa Americant Uingereza na Israhell zitakuepo bila kusahau Ujerumani Ufaransa Canada na Ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…