Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Nimeipenda hii😂😂Maisha yamebadilisha kitasa, Elimu sio ufunguo tena.
Kmmk 😁🙌Maisha yamebadilisha kitasa, Elimu sio ufunguo tena.
Ni changamoto sana kwakweli,wengine wanasomesha mamilioni ya mahela lkn mwisho wa siku maisha haya elewekiNa bado tunakopa hela tunalipia watoto wetu ada za mamilioni, huku hatuna hata Asset za kueleweka
Expert wangu upo sahihi sana aisee,wametufunga ufahamu wetu kabisa na kukariri ya kwaoWenye Akili waligundua Elimu ili wamtawale wanaempa Elimu.
Shika chetu usiwaze nje ya hicho na ukawa Individual .
Acha tukujaze majibu na maswali huna.
Kamwe usiruhu Kenge kujifikiria.
😁😁😁Na bado tunakopa hela tunalipia watoto wetu ada za mamilioni, huku hatuna hata Asset za kueleweka
Tanzania na nchi nyingi za kiafrika ni nchi masikini sana.View attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Walikuwa hawana vision na bahati.View attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Naona zama za elimu ni ufunguo wa maisha zilikuwa enzi zile ambazo wazee wetu walisoma,bado wapo shuleni lakini tayar wanajua wanaenda kampuni ipi😁😁😁
Kuna bimkubwa nilikutana Nae tukawa tunaongea ikawa analalamika eti kawasomesha watoto wake shule za gharama tangu Kindergarten mpaka A level -- Wamesoma chuo bila mkopo na mpaka Sasa kati ya watoto wake wa tatu Moja tu ndio mwenye kazi so bimkubwa ana sikitika sana
Nikawa najisemea Sasa hizo pesa siwangetumia tu kuwekeza ktk biashara nyingine halafu wange wasomesha watoto ktk shule ambazo ni affordable then wangetumia pesa nyjngine ktk uwekezaji ili watoto hata wakikosa kazi waje kujiajiri ktk hizo biashara
Expert wangu,swali linakuja mbona haufungui kufuli la maisha?Hawajatupiga ila akili zetu kuelekea elimu ndio zimetusaliti na uhalisia wa mambo, ni kweli elimu ni ufunguo wa maisha.
Population pia imechangia kuleta shida , population kubwa halafu sera za taifa katika soko la Ajira na uwekezaji katika serikali na sekta binafsi ni za mwaka 70 what do you expect??Naona zama za elimu ni ufunguo wa maisha zilikuwa enzi zile ambazo wazee wetu walisoma,bado wapo shuleni lakini tayar wanajua wanaenda kampuni ipi
Enzi zao unasoma unajua kabisa kazi uwakika,mashirika yanakuhitaji hata kabla hujamaliza shule
Elimu ya ufugajiExpert wangu,swali linakuja mbona haufungui kufuli la maisha?
Kwa muktadha huo ni sahihi kusema ufunguo wa maarifaElimu kweli ni ufunguo wa maisha,na hii haiusiani na ajira au kupata fedha,..
View attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!