Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 348
Mimi ndugu yangu anakalibia miaka 40 bado hana ajira sasa hata akipata kazi Leo sioni kama itamsaidia
Ni changamoto sana kwakweli,wengine wanasomesha mamilioni ya mahela lkn mwisho wa siku maisha haya eleweki
Tanzania na nchi nyingi za kiafrika ni nchi masikini sana.
Swali kwa idadi ya Watanzania, ukiangalia wale waliosoma (kwa definition yoyote) na wale ambao hawa jasoma (kwa definition yoyote) wapi wana maisha nafuu?
Tatizo kubwa la watu wengi wanachukulia matajiri wachache ambao hawajasoma na wamefuruku kupata maisha mazuri, halafu wnalinganisha na nchi nzima.
Haibadili maisha ila inakutengenezea Uwezo wa kuchambua mambo,kuelewa ulimwengu Kumanage pesa zako,,Lugha,hali ya hewa, science, technology....ila mindset yako,akili uliojariwa,au kipaji chako,utakavyo apply hivyo vitu ndio vinaweza badili maisha yako..Kwa muktadha huo ni sahihi kusema ufunguo wa maarifa
Binafsi naona unaposema ufunguo wa maisha ni moja kwa moja unabadili maisha yako
KabisaView attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Kinjekitile🤣wanasoma watu waliokufaElimu ya ufugaji
Elimu ya mapishi
Elimu ya utabibu
Elimu ya kilimo
Elimu ya uchoraji
Elimu ya ufinyanzi
Imeshafungua makufuli bwashee sasa nyie endeleeni kusoma kinjekitile aligeuza risasi kuwa maji🤔
Hahahhaaha ni komeoMaisha yamebadilisha kitasa, Elimu sio ufunguo tena.
Ni kweli ni ufunguo wa Maisha labda kwako Mambo yameenda komboView attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Niseme neno na Mimi,View attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Kiasi kwamba unaweza kusema wanazidiwa na mtu ambae hajasoma kabisa? binafasi naamini mtu ambae amesoma, sio lazima aajiriwe, anaweza kufanya shughuli yoyote kwa ubunifu na kujipatia kipata kuweka maisha yake kwenye level ya kawaida tofauti na mtu ambae hajasoma.Waliosoma zamani wengi wana maisha mazuri sababu wasomi walikuwa wachache kuliko fursa za ajira.
Ila ukitazama waliosoma na kufika vyuo vikuu miaka hii kuanzia 2015 kuja juu wengi wana maisha mabovu
🤛🤛Niseme neno na Mimi,
ELIMU ni kile/ vile vitu vinavyo bakia kichwani baada ya kuhitimu taaluma Fulani.
Dhima mkuu ya ELIMU ni KUMFANYA MWANADAMU aweze KUTAWALA MAZINGIRA YAKE ukiona ELIMU haikusaidii kuweza kuyatawala mazingira yako Basi iyo ELIMU ni SCAM..
Kwangu Mimi ELIMU ni ngao na Silaha yangu muhimu ambayo hainifanyi nijione mnyongee ama niwe na excuses ama kujiona inferior vice versa is True maana Kuna ma brother wengi MTAANI nimewai kupiga nao story wanasema boraa wewe una ELIMU.
Huwa sijisikii unyonge toka nikiwa sina kazi Wala uzoefu wowote Mimi sikua na bahati maana nime husler mtaani Sanaa.
Mimi ELIMU yangu naitumia kutibu, kulima,kufuga, naitumia kufanya biashara.
So wengi wetu kwa kukosa EXPOSURE tumeshindwa kutafsiri maana sahihi ya ELIMU binafsi Mimi naamini ELIMU mtu akiwa nayo anaweza kuuza hata maandazi kwa ustaad wa Hali ya juu mpaka kupata kampuni.
Wengi wetu na wazazi wetu Wana amini ELIMU mpaka uajiliwe serikalini ama kwenye reputable company or institution Ila dunia Sasa imebadilika nashukuru Sana nimeweza kutoka kwenye izo chain ⛓️
Nachukulia kwa ujumla wake,nikiangalia jamii kwa kiasi kikubwa wasomi au wenye elimu,ufunguo wa maisha umeshindikanaNi kweli ni ufunguo wa Maisha labda kwako Mambo yameenda kombo
Ila kuna wana wametokea njia hio hio
🤛🤛Elimu ni ufunguo wa maisha kwa maana ya kwamba elimu kama ufunguo unatumika kama nishati au energy. Kwa hiyo maarifa na ujuzi ulionao ni energy ya kusukuma, kuvuta, kufungua au kufanya chochote unachopaswa kufanya.
🤛🤛Elimu muhimu tatizo wengi haijawasaidia maana waliishia kukariri tu. Hata umachinga tulifundishwa shule na waalimu waliokua na biashara zao kisha kuwagawia wanafunzi wachache wawauzie
🤛🤛Haibadili maisha ila inakutengenezea Uwezo wa kuchambua mambo,kuelewa ulimwengu Kumanage pesa zako,,Lugha,hali ya hewa, science, technology....ila mindset yako,akili uliojariwa,au kipaji chako,utakavyo apply hivyo vitu ndio vinaweza badili maisha yako..
wanasema Nguvu ya Elimu Ina umuhimu pale Elimu inapotumika,,
Elimu inakupa maarifa ambayo ukiyatumia vizuri ndio yanaitwa UFUNGUO WA MAISHA
Na elimu ya zamani nayo ilikuwa bora sana,ingawa ni wachache walifanikiwa kuipata lkn ilikuwa bora sanaWaliosoma zamani wengi wana maisha mazuri sababu wasomi walikuwa wachache kuliko fursa za ajira.
Ila ukitazama waliosoma na kufika vyuo vikuu miaka hii kuanzia 2015 kuja juu wengi wana maisha mabovu
Inasikitisha sana kwakweliwapo wengi sana mitaani. Unakuta kijana kasoma Tusiime na Feza na bado ajira hana ameishia kuwa winga tu wa kupost nguo status