The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Itamsaidia sana expert wangu,hata angepata akiwa na 55 bado ingemsaidiaMimi ndugu yangu anakalibia miaka 40 bado hana ajira sasa hata akipata kazi Leo sioni kama itamsaidia
Baraka zake hazipo kwenye ajira ajaribu kitu ingineMimi ndugu yangu anakalibia miaka 40 bado hana ajira sasa hata akipata kazi Leo sioni kama itamsaidia
Ni sahihi kabisa ndio maana hata waajili wanataka watu wenye uzoefuElimu ya darasani sio elimu ya mtaani, darasani theory mtaani field.
Aliyesomea market hawezi kumshinda machinga mbinu za kuuza
Elimu ndo kila kitu, ishu ni elimu gani? Hii ya kujua viungo vya panzi tulio nayo huenda isiwe.Maisha yamebadilisha kitasa, Elimu sio ufunguo tena.
Kama anaenda kuongeza maarifa namna ya kuendesha vizur huo ufugaji ni sawa,ila kama kwa ajilli ya ajira anafeliMtu ana ng'ombe 1000 ila anampeleka mtoto wake shule akasome aajiriwe
Kweli kabisaBaraka zake hazipo kwenye ajira ajaribu kitu ingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yamebadilisha kitasa, Elimu sio ufunguo tena.
Haswaaa.Elimu kweli ni ufunguo wa maisha,na hii haiusiani na ajira au kupata fedha,..
Shule zote zifungwe au unasemajeView attachment 3385582
Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito
Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha?
Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa
Ni hayo tu!
Haswaaa.
Hatusomi ili tuajiriwe bali tuelimike ndo kitu ambacho waafrika wengi hawajuiHaswaaa.
Sijajua nani alitudanganya watanzania kua lengo la Elimu kufanya watu wapate ajira wakihitimu masomo..Hatusomi ili tuajiriwe bali tuelimike ndo kitu ambacho waafrika wengi hawajui
Mtu yeyote aliyesoma na kuelimika haswa kamwe huwezi mkuta analalamika maswala ya ajira sababu maarifa atakua nayo
Waengine wanasoma ili wapate vyeti hawa ndo kama mleta uzi,
Mt anaituhumu elimu ilihali mda huo huo simu anayotumia, dawa aliyotoka kunywa mda sio mrefu ni matokeo ya research za miaka mingi sana unajua wafrika tunashida sana ya kifikra kubwa mnoSijajua nani alitudanganya watanzania kua lengo la Elimu kufanya watu wapate ajira wakihitimu masomo..