Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Samahani kama nimekosea Mpwa, nilitaka wale wanaotumia internet ya Kazini waione Ili wa download mara Mbili mbiliUnatuletea ushuzi wake humu kutujazia server na kutumalizia MB zetu mkuu? Unatukosea sana
CCM wamemtumia Mzee vibayaLeo nilikuwa namsikiliza Mzee Malecela kupitia TBC amefafanua vizuri tu.
Kasema Tozo zilikuwepo tokea zamani na zilikuwa hazimuumizi Mwananchi.tofauti na hizi za leo.
Si ndiyo hapo maana hapo hata anachongeaa haeleweki.At least wangetafutwa wenye uelewa wa mambo kidogo basi
Ina ukweli flani hiviPublic figure au celebrities wengi ni wendawazimu
Hivi Piere amepona ?Who's next? Mrisho Mpoto au Piere Liquid?
Mwijaku Tayari! Nchi ikiwa na wajinga wengi Iko siku watachagua Rais wa nchi!mwijaku na babalevo tayari?...nauliza tu.
Kwakweli sijui.Hivi Piere amepona ?
Inabidi tufikie mahali tuanze kudeal nao mitaani.ndio heshima itakuwepo.Kulala kwetu ndio kunatoa mwanya kwa wapumbavu kama huyu kuja mbele na kuzungumza, tutakapokuwa wakali kila mahala, basi mpumbavu na wapumbavu kama huyu hakuna wawezapo kusimama na kuongea "ufalasi jazz band"