Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Hizo taarifa zote alieleza Bashungwa kafungue you tube utapata hayo majibu..

Harafu usiwe kiazi vitu vingine Hivyo vipo Tamisemi utaona idadi ya kata, Vijiji,mitaa nk..

Ujinga wako usiwe mzigo Kwa wengine.
 
Huyo zezeta tu mwenyewe anajisikia fahari kuitwa Nyerere hataki kuitwa ubini wake Mengere ni mgonjwa wa akili anahitaji msaada wa matibabu.
 
Acha ujinga basi, soma mmepost Nini? Ina maana kabla ya Hapo hakukua na vituo vya Afya? Je hakuna source nyingine Hadi TOZO? NDIO mwisho wa creativity ya kupata fund za ujenzi? Usijitie ujuaji, vituo vilikua vinajengwa miaka yote, nothing new
Unaulizwa swali la kitoto kama vile umebeba kopo.kichwani..

Nimekwambia Nchi hii ina kata zaidi ya 4500 na kati hizo kata toka uhuru kuna chini ya vituo vya afya 1000 kiasi kwamba ukijumlisha na hivi vinavhoendelea na ujenzi havizidi 1200 wakati sera ya Afya inata Kila kata kuwe na kituo Cha afya..

Ndio maana SSH akaja na tozo Ili kukabiliana na huo upungufu wakati idadi ya watu inazidi kuongezeka,kwa mwaka uliopita ndio vimejengwa hivyo 234 na havijakamilika vilivyo vingi..

Ukitumia source za kawaida ndio matokeo yake yabakuwa kama ya Mwendazake yaani unakaa miaka 5 unajenga vituo 352 sasa utamaliza lini kata 4 500? Idadi ya watu inaongeseka huku unajenga kwa kujinyonga yaani wastani WA vituo vya afya 70 tuu kwa mwaka,this is rubbish..
 
Hizo taarifa zote alieleza Bashungwa kafungue you tube utapata hayo majibu..

Harafu usiwe kiazi vitu vingine Hivyo vipo Tamisemi utaona idadi ya kata, Vijiji,mitaa nk..

Ujinga wako usiwe mzigo Kwa wengine.
Hakuna na huna Sababu ya panic disorder hapa , nyie si ndo mnatete tozo hapa, tafuteni data leteni hapa , tunaitaji hizo data KWa Sababu
KILA kata unatakiwa kuwa na kituo Cha afya Tz nzima
KILA Kijiji/ mtaa unatakiwa kuwa na zahanati,

Sasa nyie waimba mapambio tafuteni huko mlete hapa , ili mtuzibe mdomo tunao sema tunachoambiwa sio kweli

Sasa wewe unakimbilia sijui nini leta data hapa tunataka kuona vilivyojengwa na mapungu anzia KWa kikwete mpaka serikali hii kabla ya tozo , vile vilivyojengwa na tozo , hamuwezi leta ,itakua Umandonga tu, katika maisha ya watu, japo yeye mwenye Halisi ni katika maisha yake na familia yake,

Kama mnataka watu wawaelewe kwanini msitoe izo data kuanzia kipindi Cha kikwete mpaka kipindi Cha Tozo?
 
Acha kujifanya mjuaji! Tumia akili wewe, JK alijenga vituo vya Afya pia, mkaja na the story. Sibishani nakupa ukweli, huo Ujinga kawadanganye wajinga Akina Steve
 
Sina nafasi ya kubeba ujinga wako mkuu,kama huwezi tafute acha.
 
Huyu ni Mpuuzi halafu hajui kuwa we have been here Long time
 
Huyu Dogo ni Mpuuzi Sana sana, wakishakuka TOZO wakivimbiwa ndio wanaanza kuropoka na kujifanya wajuaji
 
Kwa uchawa wa Stive, inawezekana kabisa kajituma mwenyewe ili apate credit kwa mama
 
Acha kujifanya mjuaji! Tumia akili wewe, JK alijenga vituo vya Afya pia, mkaja na the story. Sibishani nakupa ukweli, huo Ujinga kawadanganye wajinga Akina Steve
Wewe akili huna na ni mpumbavu fulani tuu..

Hivyo vituo vya afya havijaanza kujengwa awamu ya JK toka enzi za Mwinyi na Nyerere..

Nakueleza Takwimu unaleta upumbavu eti tunajua mnajua kutoka hewani?

Taarifa za serikali zipo leta hapa Kuni prove wrong naona chuki ndio zinakusumbua..

Mwisho kawatafute wapumbavu wenzako huko Chadomo ndio mtaelewana mnapojazana ujinga..

Juzi nalisikia Li Lisu linadanganya manyumbu eti Serikali imeninua V8 500 😆😆
 
Sasa Kama toka uhuru data ziko hivyo, Sasa twambie na tupe data hapa za kipindi Cha
Mkapa
Kikwete
Mwanachato
Serikali hii kabla ya tozo
Serikali hii bahada ya tozo
Mapungufu mpaka Sasa

Haya ndo majibu tunataka hapa
 
Relax, relax, relax! Usipaniki! Twende taratibu tu huu mchezo Wala haihitaji hasira Mbona? Utachoka mapema ukipaniki! Tumuweke Lissu pembeni Kwanza, tuendelee na hili la vituo vya Afya vya TOZO!
 
Sasa Kama toka uhuru data ziko hivyo, Sasa twambie na tupe data hapa za kipindi Cha
Mkapa
Kikwete
Mwanachato
Serikali hii kabla ya tozo
Serikali hii bahada ya tozo
Mapungufu mpaka Sasa

Haya ndo majibu tunataka hapa
Ameshapaniki Dogo
 
Sasa Kama toka uhuru data ziko hivyo, Sasa twambie na tupe data hapa za kipindi Cha
Mkapa
Kikwete
Mwanachato
Serikali hii kabla ya tozo
Serikali hii bahada ya tozo
Mapungufu mpaka Sasa

Haya ndo majibu tunataka hapa
Toa 352 za Magufuli na then zinazosalia ndio za hao unaowataja,harafu hizo zingine gawanya kwa waliosalia..

Soma jedwali hili hapa chini👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220516-121052.png
    69.7 KB · Views: 2
Huyu ni Mpuuzi halafu hajui kuwa we have been here Long time
Hawa wanadanganya na hawajui pia Hali halisi , hata Kama sera ni KILA kata kuwa na kituo Cha afya ila sio kata zote zimekidhi vigezo, zipo kata zingine zilianzishwa kisiasa na ukiangalia idadi ya watu na ukaribu wa kata izo kituo kimoja Cha Afya kinatosha, mfano kata za kwenye majiji ,miji na manispaa, unakuta kata zimelundikana karibu Sasa inaniambia pale KILA kata iwe na kituo Cha afya wakati hata pa kukijenga hakuna,

So KWa mantiki Iyo idadi ya vituo vya afya hawezi endana na kata tulizonazo tanzania nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…