mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Huyu naye katoka wapi kweli ni mdogo kuanzia ubongo hadi kila kitu! Ni robo binadamu huyu.Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.
Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?
View attachment 2347775
Huyu amenikumbusha kipindi cha jiwe akifanya kampeni akina diamond walifikia kutuimbia utumbo eti "magufuli babalao". Hivi hakuna akina Boby Wine Robert Chagulani hapa kwetu? Mbona wasanii wa matumbo wengi. Huyu ndebile steve nyenyere ana kichaa cha kuku!
Wasanii wa Tz wengi ni vilaza fulani ambao wamepitapita kupitia kubebwa na wengine kupakatwa tu.