Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Kwann asiwafahamu...?Sasa mru kazaliwa 95 kuja hivi unategemea kina Ronaldo, Rivaldo, Figo, Juninho, Ronaldinho, Henry, Bergkamp nk awafahamu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann asiwafahamu...?Sasa mru kazaliwa 95 kuja hivi unategemea kina Ronaldo, Rivaldo, Figo, Juninho, Ronaldinho, Henry, Bergkamp nk awafahamu kweli?
Ni yeye mkuuRibery au
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
Milan Baros raia wa Czech huyo sio mgirikiHuyo ni Mgiriki na mashindano ya EURO yaliyofanyikia Ugiriki 2004 nadhani ndiye aliibuka mfungaji bora huku UGIRIIKI ikiwapiga nadhani URENO final na kubeba kombe.
Mcheki sio Mgiriki bro. Baros alikiwa anatoka czechslovakiaHuyo ni Mgiriki na mashindano ya EURO yaliyofanyikia Ugiriki 2004 nadhani ndiye aliibuka mfungaji bora huku UGIRIIKI ikiwapiga nadhani URENO final na kubeba kombe.
Hapana,Milan Baros ni kutoka CzechHuyo ni Mgiriki na mashindano ya EURO yaliyofanyikia Ugiriki 2004 nadhani ndiye aliibuka mfungaji bora huku UGIRIIKI ikiwapiga nadhani URENO final na kubeba kombe.
Juan kwenye mipira iliyokufa hafiki Kwa Juninho japo Juan alikuwa mtu haswa....na ktk era ya Juan pale Spain kulikuwa na kiumbe kingine kikiitwa Fernando Redondo akikipigia madridAtamfikia requelme?
Sijawahi kumshuhudia redondo, ila nasikia alikua ni balaa haswaaJuan kwenye mipira iliyokufa hafiki Kwa Juninho japo Juan alikuwa mtu haswa....na ktk era ya Juan pale Spain kulikuwa na kiumbe kingine kikiitwa Fernando Redondo akikipigia madrid
vile vile sio Peter Cech ni Petr Cech.Peter Cech siyo Peter Check.
Alikuwa mtu na nusu ......isingekuwa majeraha nahisi ungemuona kwani majeraha yalisabab Isha ache mpira ktk umri mdogoSijawahi kumshuhudia redondo, ila nasikia alikua ni balaa haswaa