Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Bila kusahau baba lao loger Mila
 
Wanakosaje wakati hawakuwepo, muda wao ndiyo huu. Nao pi

Wanakosa nini labda, kwani walikuwepo? Kawaida kitu unachokosa ni ambacho ulikuwa nacho. Wao wana kizazi chao cha akina Man City. Nao watajivunia kwa hilo. Mimi leo uniambie namisi kitu kwa Sunday Manara, kichekesho. Waliomuona sawa.
Angia YouTube mkuu
 
Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Hahahahaha, umetisha

US walikua na beki anaitwa Alex Lalas
 
Na watakaokwambia ambao hamuwajui kina Lav Yashin (The Black Spider); Just Fontaine; Vava; Garrincha, Eusebio (The Black Panther); Bobby Moore; Teofilo n.k. utasemaje ?

Kila zama na vitabu vyake......
 
Hahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.

Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
Balack huyo germany
 
Sio kweli mzee. Yaani akina Kay Havert wawe wana kasi kuliko akina Ballack au Scholes mkuu? Yaani hawa akina Garnacho wawe wanaweza zaidi ya Akina Bergkamp au Ricardo Quaresm?

Kuna fundi wa mpira katika kizazi hiki kama Deco Da Sauz au Riquelm? Sasa kuna fundi wa Dead Ball kama alivyokuwa Juninho Pernacumber au David Beckham?

Mzee hatujisifu ula sasa hakuna kitu. Mambo yamebadilika, sasa boyz ndio wanacheza mpira while those days Men's ndio walikuwa wanacheza mpira.
Ukiachana na kwamba umenisoma vibaya
Tokea lini Scholes Ballack walikuwa na mbio 😄 bergkamp kwa mpira wake ule kwa sasa hivi hana namba labda Man U
 
Game ya man u na aseno, Nani anapiga mpira kwa dharau, golie wa aseno anadhani atauwahi akajaribu kutaka kuukimbiza, nilicheka sana hahahha
 
1. Jaap Stam
2. Roy Kean
3. Sosjer
4.Dwight Yorke
5. Andy Cole
6. Garry Neville
7. Mark Viduka
8. Patrik Viera
9. Steven Gerrard
10. Ashley Cole
 
Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?

1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
19. Bekham
20 . Thienry Henry
21. Gaucho
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi? Wachezaji wenye goli 20 wanakaa Benji Kama chicharito 🤣 saivi mfungaji Bora wa man u anagoli 10

Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine

Mfaransa rafiki ajen roben, nimemsahau jina
 
Ni sahihi. Game yangu bora ya muda wote ni ya Chelsea chini ya Master Guus Hiddink na Liverpool chini ya mzee wetu Benitez.

Game iliisha 4 kwa 4. Ilikuwa game nzuri sana ile bro. Kuna game ya ManchesterUnited dhudi ya Real Madrid sikumbuki ni mwaka gani ila 2004 shuka chini. Madrid ya akina Beckham, Zidane na De Lima wakawa wanamtungua tu Bartez.
😀😀😀
Screenshot_20240424-214013.png
 
Hahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.

Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
Hata hapo Kwa hao wachezaji uliowataja mpira ndo ulikuwa unaelekea kubaya .....Kuna zile zama hapo nyuma alikuwa akicheza Marcelly desaii,akina Frank Rebouf,Celestine Babayaro kipindi hicho kwenye soka kulikuwa na cheo Cha kocha mchezaji na sio Sasa Cha kuwa na meneja ........ila umenikumbusha mbali sana
 
Mipira iliyo kufa
Juninho
Nakamura
Pirlo
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
 
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
Ni sports director wa Lyon klabu yake ya zamani
 
Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Umenitajia faustineAsprilla nimeikumbuka Newcastle ya miaka hiyo haikuwa underdog as wali yo kipindi hiki .....mwamba kutoka colombia
 
Back
Top Bottom