Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Hahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.

Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
Noma sana
 
Kama kawaida wazee kusifia enzi zenu sioni shida hata vijana wa Sasa wakijisifia mwaka 2050 yaani ukishaishiwa lazima usifie kwamba nilikuaga hivi mala vile yaani ukiona mtu anasifia enzi zake na hataki kuipa respect kizazi Cha mwenzie huyo hamna kitu ni muongo
 
Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Uzuri ni kwamba
Hawa wachezaji wa zamani hata wao wanakubali kwamba mpira wa sasa una kasi na ushindani tofauti na kipindi chao
 
Back
Top Bottom