Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?

1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
19. Bekham
20 . Thienry Henry
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi?

Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine
Orodha haina Gaucho haina maana tena.
 
Kama kawaida wazee kusifia enzi zenu sioni shida hata vijana wa Sasa wakijisifia mwaka 2050 yaani ukishaishiwa lazima usifie kwamba nilikuaga hivi mala vile yaani ukiona mtu anasifia enzi zake na hataki kuipa respect kizazi Cha mwenzie huyo hamna kitu ni muongo
Mdogo wangu kinachoongelewa hapa ni ukweli kabisa. Mimi nimeshuhudia mpira toka 2002 mpaka sasa ni shabiki wa mpira ila kiukweli ule udambwi umepungua sana. Wachezaji hawana commitment kama iliyokuwepo hapo mwanzo, sasa hivi pesa inaendesha mpira, nimeishuhidia the worst Man City tofauti na hii ya sasa. Enzi hizo top four watu wanakaangana kweli ubingwa wa ligi timu zinapokezana.

Mimi nina appreciate ya sasa ila memory haiwezi kufuta kile nilichoshuhudia kabla ya sasa.
 
nyie wasengre...tuu Sasahivi ule mpirawenu wakuchomoka na undava undava haupo

eti mtu anapiga danadana uwanjani 😕 😕 mara anapiga shuti katikati yauwanja na kipa anashindwa kudaka?????????????????

nyie mlikua mnaangalia mapimbi

kiazi cha ronado na messi ndio kiazi cha soka halisi
 
Kila kitu na muda wake, we uliwaona hao, vipi waliowashuhudia kina van basten, romario, socrates, johan cruyffy, zico, baresi.. King kenny daglish, ian rush, paulo rossi, Kila mtu ataenjoy alichokikuta.. Aliyemshuhudia mchawi wa soka mfalme pele, eusebio, charlton na wenzao huwezi kumtambia kina drogba na rooney.
 
Kama kawaida wazee kusifia enzi zenu sioni shida hata vijana wa Sasa wakijisifia mwaka 2050 yaani ukishaishiwa lazima usifie kwamba nilikuaga hivi mala vile yaani ukiona mtu anasifia enzi zake na hataki kuipa respect kizazi Cha mwenzie huyo hamna kitu ni muongo
Hakuna wachezaji siku hizi,lukaku ananunuliwa 100m,havertz striker arsenal,jackson chelsea,
 
Uzuri ni kwamba
Hawa wachezaji wa zamani hata wao wanakubali kwamba mpira wa sasa una kasi na ushindani tofauti na kipindi chao
Sio kweli mzee. Yaani akina Kay Havert wawe wana kasi kuliko akina Ballack au Scholes mkuu? Yaani hawa akina Garnacho wawe wanaweza zaidi ya Akina Bergkamp au Ricardo Quaresm?

Kuna fundi wa mpira katika kizazi hiki kama Deco Da Sauz au Riquelm? Sasa kuna fundi wa Dead Ball kama alivyokuwa Juninho Pernacumber au David Beckham?

Mzee hatujisifu ula sasa hakuna kitu. Mambo yamebadilika, sasa boyz ndio wanacheza mpira while those days Men's ndio walikuwa wanacheza mpira.
 
Mimi niliacha kuangalia mpira 2017. Nimekuja kucheki hivi karibuni nimeacha kabisa kufuatilia officially. Hauna radha wala hakuna mtu anayejua mpira. Wote wanaungaunga bora wakina Pacome.
Ni sahihi. Hao akina Pacome katika kizazi chetu walikuwa wanapatikana hapo Morogogoro kwenye chama letu la Young Boys la Mkambarani.

Binafsi sifuatilii mpira kwa sasa sio Tanzania wala nje ya nchi. Leo Haaland anawafunga tu mabeki uchwara. Yule jamaa wakati nacheza kitasa Young Boys ya Mkambarani Morogogoro pale uwanja wa shujaa Morogogoro asingekuwa ananisumbua.
 
😅
 
Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?

1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
19. Bekham
20 . Thienry Henry
21. Gaucho
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi? Wachezaji wenye goli 20 wanakaa Benji Kama chicharito 🤣 saivi mfungaji Bora wa man u anagoli 10

Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine
Wanakosaje wakati hawakuwepo, muda wao ndiyo huu. Nao pi

Wanakosa nini labda, kwani walikuwepo? Kawaida kitu unachokosa ni ambacho ulikuwa nacho. Wao wana kizazi chao cha akina Man City. Nao watajivunia kwa hilo. Mimi leo uniambie namisi kitu kwa Sunday Manara, kichekesho. Waliomuona sawa.
 
Back
Top Bottom