figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tuache siasa ila pale 671 KJ mi mwenyewe nilishangaa unajua ni Kitengo cha Ujasusi wa kijeshi pale (Military Intelligence)Kama JWTZ na ubabe wao wameuza eneo Lao la jeshi pale zakheim Kwa GSM ni Nani mwingine mwenye ubavu wa kuzuia?
Huyu fala akiwa anaongea UJINGA wake watu tunamshangaa Tu Kwa ufala wake
Kumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.Kama JWTZ na ubabe wao wameuza eneo Lao la jeshi pale zakheim Kwa GSM ni Nani mwingine mwenye ubavu wa kuzuia?
Huyu fala akiwa anaongea UJINGA wake watu tunamshangaa Tu Kwa ufala wake
Pameuzwa Toka mwaka Jana ..mabomu yalihamishwa Toka kipindi hicho cha balaaKumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.
Ile sehemu Wachina walikodi kuweka vifaa vyao na Ofisi za Utawala.
Kumbe Jeshi jeshi washapapiga bei.
Ilikuwa kambi ubwa ya Mizinga. 2009 ilipolipuka mizinga Mbagala walitafutana.. Siku yanalipuka nilikuwa nimekaa Mgeni nani nacheza Draft.. Mzinga kidogo unitoe roho nikalala chini.
Sasahivi kuna makontena Tu eneo lote na huku Kwa nje kuna machinga na biashara zao yaani kama sokoni tuTuache siasa ila pale 671 KJ mi mwenyewe nilishangaa unajua ni Kitengo cha Ujasusi wa kijeshi pale (Military Intelligence)
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.
FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?
ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.
Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.
Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.
Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.
Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.
Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.
Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.
Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.

Bandari ya Tanga inayoendeshwa na TPA imeipiku bandari ya DSM inayoendeshwa na DP World
Nimecheka sana mkuu😀Kumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.
Ile sehemu Wachina walikodi kuweka vifaa vyao na Ofisi za Utawala.
Kumbe Jeshi jeshi washapapiga bei.
Ilikuwa kambi ubwa ya Mizinga. 2009 ilipolipuka mizinga Mbagala walitafutana.. Siku yanalipuka nilikuwa nimekaa Mgeni nani nacheza Draft.. Mzinga kidogo unitoe roho nikalala chini.
Ni kweli kabisa! Mimi mmojawapo wa waathirika wa hapo kurasini. Daa Mungu anawaona nyie ccmChalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.