Hatima mamlaka yajitokeza kumjibu waziri kivuli wa ACT Wazalendo mh. Mtutura Abdallah Mtutura
31 August 2026
MOHAMED SALUM - "UCHUMI wa NCHI YETU UNAKUA - TUNATEGEMEWA" - TASAC BAADA ya ZIARA ya CHALAMILA KUTINGA BANDARI KAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=vcRc6gKWXgY
Mkurugenzi mkuu wa TASAC Mohamed Salum azungumza na waandishi wa habari kuhusu changamoto za bandari ya Dar es Salaam zilizosababisha kuibuka kwa bandari kavu ndani ya jiji la Dar es Salaam
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania unaimarika kwa kasi kupitia maboresho ya miundombinu ya bandari kavu (ICDs), huku nchi ikizidi kutegemewa na mataifa jirani kwa usafirishaji wa shehena.
Bandari ya Da es Salaam imeelemewa yaani port congestion na makontena kiasi DP World ilitaka kusitisha huduma zaidi.
Hivyo ICD kubwa kufunguliwa Mbagala, ICD HEKO Kigamboni, ICD Kilimanjaro na kupungiza msongamano ndani ya Bandari ya Dar es Salaam. Kilimanjaro ICD imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 15 katika miundombinu ya zege na teknolojia ya kisasa kwenye eneo la mita za mraba 118,000, jambo linalofungua fursa nyingi za ajira na kukuza biashara
ICD hizi yaani bandari kavu ndiyo zimezusha gumzo kubwa kuhusu msongamano wa malori ..
Urasimishaji wa Bandari Kavu: Mkurugenzi kutoka TASAC alibainisha kuwa TASAC hilo tayari lishasimamia na kurasimisha takribani bandari kavu 29 nchini
ili kusaidia kupunguza msongamano wa malori na kuongeza ufanisi wa kupokea mzigo kutoka Bandari Kuu ya Dar es Salaam
TOKA MAKTABA :
27 August 2026
RC CHALAMILA AFANYA UKAGUZI BANDARI KAVU, ASISITIZA MAAGIZO YAKE KUFANYIWA KAZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=p9zgjYDj_B0
Vizuri.. Sababu umeongeza siku za kuishiNimecheka sana mkuuπ
Kusimamisha leseni za ICD sio suluhu ya kupunguza foleni. ICD nyingi hazina nafasi kubwa ya gari kuingia nyingi na kupakia kwa wakati mmoja. Miezi michache kulikuwa na container nyingi za mpaka zikakosa pa kuwekwa ikabidi Suhara achukue ICD Chamazi azijaze na bado ICD nyingi mjini zikawa full.31 August 2026
Mohamed Salum - TASAC suspends new dry port licenses in Dar es Salaam, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=Yln9U8HvDC8Mohamed Malick Salum director general of TASAC issued that statement today, so as to review congestion in city of Dar es Salaam .
31 August 2026Hatima mamlaka yajitokeza kumjibu waziri kivuli wa ACT Wazalendo mh. Mtutura Abdallah Mtutura
31 August 2026
MOHAMED SALUM - "UCHUMI wa NCHI YETU UNAKUA - TUNATEGEMEWA" - TASAC BAADA ya ZIARA ya CHALAMILA KUTINGA BANDARI KAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=vcRc6gKWXgY
Mkurugenzi mkuu wa TASAC Mohamed Salum azungumza na waandishi wa habari kuhusu changamoto za bandari ya Dar es Salaam zilizosababisha kuibuka kwa bandari kavu ndani ya jiji la Dar es Salaam
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania unaimarika kwa kasi kupitia maboresho ya miundombinu ya bandari kavu (ICDs), huku nchi ikizidi kutegemewa na mataifa jirani kwa usafirishaji wa shehena.
Bandari ya Da es Salaam imeelemewa yaani port congestion na makontena kiasi DP World ilitaka kusitisha huduma zaidi.
Hivyo ICD kubwa kufunguliwa Mbagala, ICD HEKO Kigamboni, ICD Kilimanjaro na kupungiza msongamano ndani ya Bandari ya Dar es Salaam. Kilimanjaro ICD imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 15 katika miundombinu ya zege na teknolojia ya kisasa kwenye eneo la mita za mraba 118,000, jambo linalofungua fursa nyingi za ajira na kukuza biashara
ICD hizi yaani bandari kavu ndiyo zimezusha gumzo kubwa kuhusu msongamano wa malori ..
Urasimishaji wa Bandari Kavu: Mkurugenzi kutoka TASAC alibainisha kuwa TASAC hilo tayari lishasimamia na kurasimisha takribani bandari kavu 29 nchini
ili kusaidia kupunguza msongamano wa malori na kuongeza ufanisi wa kupokea mzigo kutoka Bandari Kuu ya Dar es Salaam
TOKA MAKTABA :
27 August 2026
RC CHALAMILA AFANYA UKAGUZI BANDARI KAVU, ASISITIZA MAAGIZO YAKE KUFANYIWA KAZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=p9zgjYDj_B0
DahhhKama JWTZ na ubabe wao wameuza eneo Lao la jeshi pale zakheim Kwa GSM ni Nani mwingine mwenye ubavu wa kuzuia?
Huyu fala akiwa anaongea UJINGA wake watu tunamshangaa Tu Kwa ufala wake
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
βBandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikaliβ
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.
FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?
ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.
Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.
Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.
Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.
Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.
Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.
Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.
Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.
Chalamila akithubutu kugusa hizo bandari atatekwa siku hiyohiyoChalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
βBandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikaliβ
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.
FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?
ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.
Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.
Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.
Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.
Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.
Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.
Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.
Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.
ππππ31 August 2026
Dar es Salaam, Tanzania
BADO KUNA UHITAJI WA BANDARI ZETU KUTEGEMEA MALORI, UKIFUNGA BANDARI KAVU MAKONTENA YANAENDA WAPI ?
View: https://m.youtube.com/watch?v=R1qaOlqb_3k
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Usimamizi wa Usafiri wa Majini (TASAC), Mohamed Mallick Salum, amesema Bandari Kavu (ICD) ni muhimu katika kupunguza msongamano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam.
Na hivyo kuiwezesha bandari Dar es Salaam kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa zaidi Amesema suluhisho si kuondoa malori au ICD, bali ni kuboresha na kuratibu mfumo mzima wa usafirishaji ili kupunguza msongamano na kero kwa wananchi.
Akizungumza Agosti 31, 2026, Jijini Dar es Salaam, Bw. Salum amesema ongezeko la shehena limeongeza mahitaji ya maeneo mbadala ya kuhifadhi na kuhudumia makasha.
ππππ
Wanamtandao wanatishaRC Chalamila chali