Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

Umeeleweka bara baraa
 
Wale wa green card lottery wajiandae, huwa yuko against na uhamiaji kupitia njia hiyo pia, hivyo huwa anaweka ngumu kuingia us⁶
Ile ipo kisheria na ina kanuni zake, walioingia kwa njia ile wameingia kisheria, labda aipige marufuku sasa kwamba isiwepo na hata akiipiga marufuku sasa, sheria haifanyi kazi backward, bali itanzia ilipopigwa marufuku (kama ip kwa utashi wa ofisi ya rais), So hao wapo salama kabisa
 
Vitaondolewa tu kabla Trump hajaondoka madarakani, Trump na Putin ni marafiki, bunge la Marekani wameingia Pro-Russia wengi zaidi pia.
Trump mwaka 2016 aliingia madarakani akakuta Urusi imewekewa vikwazo na Marekani kwa sababu ya Urusi kuteka Cremea lakini mpaka ana ondoka hakuna hata kikwazo kimoja kilicho ondolewa badala yake viliongezwa vingine.
 
🇺🇸 haiendeshwi kama Tanzania na nchi nyingi za kiafrika, just coz DT kaingia madarakani haimaanishi kuwa kila kitu kitabadilika. Mengi yaliyokuwepo yataendelea kuwepo as foreign policies za US ndio factor kubwa sana ya kumuweka madarakani raisi. GC lottery imekuwepo miaka mingi toka 90s nadhani, haiondoki leo wala kesho.
 
Watu wapo misinformed na ndiyo sababu ya wao kutompenda Trmp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…