Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 667
- 338
Kubwa ni siku ngapi?Wame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
Wiki sio siku moja tu.Kubwa ni siku ngapi?
Kwa sheria ya mwisho wa kuripoti ni 11/6 na sio zaidi ya hapo.Wame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
Hahahaaaaaa peleka siasa zako huko, jeshi sio kikundi cha upatu mzee na ndio maana likaitwa jeshi sasa kama unataka kujua kwa sheria ipi nenda pale kawaulizeWame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
Hakuna tujifunze kufuata utaratibu kila kitu pale kinaenda kwa time table mzee jeshini sio kanisani kwamba hata ukifika mda wa mahubiri unaingia tuuJeshi linajaribu kubana matumizi kijanja
Hahahaaa kuzingatia mda pia ni sehemu ya mafunzo ya jeshi nyie ambao hajapita jeshink mnadhani jeshi nisawa na vikundi vya upatu sio?Wiki sio siku moja tu.
Pale ni jeshini au mgambo. Jwtz haiwezi kufanya upuuzi kama huo .Hahahaaaaaa peleka siasa zako huko, jeshi sio kikundi cha upatu mzee na ndio maana likaitwa jeshi sasa kama unataka kujua kwa sheria ipi nenda pale kawaulize
Wewe ambaye huelewi chochote kuhusu jeshi ni haki yako kudhani JKT ni mgambo, na sidhan kama hata JWTZ unaijua vizuri wewe,kwa taatifa yako kwa JWTZ kuchelewa kambini kwa muda ulio pangwa na hasa kama ni mafunzo kunaweza kukufanya ukafukuzwa kabisa ukisindikizwa na adhabu kali kabisa.Pale ni jeshini au mgambo. Jwtz haiwezi kufanya upuuzi kama huo .
Nadhani Uongozi wa Jeshi katika kila Kambi unapaswa kumhoji kila mtu mmoja mmoja juu ya sababu zilizofanya Mwanafunzi kuchelewa kuripoti kambini katika muda uliopangwa kuliko kuwarudisha nyumbani wote pamoja kwa ujumla.Wahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho.
Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi mpaka asubuhi kwaajili ya usalama wao na leo asubuhi wametakiwa kurejea kwao. Nidhamu ya jeshi ni msingi wa jeshi imara! walidhani ni kule sekondari mtu anavuta wiki mbili mbele baada ya shule kufunguliwa.
Wazazi kama mwanao alienda JKT tarehe 12/6 wasiliana naye ama mtumie nauli yupo nje anapunga upepo!
Uko pamoja kiimaniJeshi linajaribu kubana matumizi kijanja
Hauko seriousWame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.