Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

mbona nipo ila uliniacha hoi uliposema ukapiganie nchi had ufe vitani ili nchi iwe salama,nikakufaanisha na mabaharia wanao tumia dawa ya kuongeza nguvu eti wanakomoa k na mwisho wa siku wanakufa wao k inaendelea kuwepo
😂😂😂😂😂😂Baharia mkakamavu mashoti yote unapiga ili kila kitu kiwe poa
 
Sema changamoto ni kutoa agizo ndani ya siku kumi waripoti lakini mtoa maagizo hajui hali ya maisha ya huyu kijana.

Kakopa nauli weeee! Kakopa tena kakopa. Ikashindikana. Hatimaye kijiji kikatoa nauli kidogo.

Na hiyo nauli yenyewe sijui wanarudishiwa au kama ilivyo ada kwa serikali kuwakamua walalahoi kwa kuwa hawaoni shida zetu.

Milioni mia wanaita hela ya mboga wakati kuna mtu mwaka mzima laki hajawahi kuitumia achilia mbali kuishika.
Hao watu wanaoungaunga nauli ni asilimia ndg sana, changamoto kubwa apa ni mizaha tu ya mtu mweusi
 
Back
Top Bottom