Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Vilipita vikajilibwasa kwanza chezea upwiruuuuu nini 😆😆Hapo unakuta nyumbani viliondoka muda mreeefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilipita vikajilibwasa kwanza chezea upwiruuuuu nini 😆😆Hapo unakuta nyumbani viliondoka muda mreeefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo unakuta nyumbani viliondoka muda mreeefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walipitia kuaga wapenzi wao.
Siku moja niko lodge fulani nyanda za juu kusini. Nyumbi hii bombi hii!!
Binti ametumwa kwenye mkutano wa injili. Alisafiri siku mbili wakati umbali ni wa safari ya saa si zaidi ya 4 tena hakuna kubadili basi.
Alifanya hivi. Alienda mji husika moja kwa moja na kufikia lodge kujivinjari. Kwa wazazi akasema nimempitia rafiki yangu ili twende wote kesho mchana.
Anatoa majibu hayo yuko lodge namsikia. Nilichoka kidogo.
Mnavyo izungumzia hyo issue ya jeshi, kama kitu kikubwa ambacho mtu hakosi kukikosa vile...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho.
Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi mpaka asubuhi kwaajili ya usalama wao na leo asubuhi wametakiwa kurejea kwao. Nidhamu ya jeshi ni msingi wa jeshi imara! walidhani ni kule sekondari mtu anavuta wiki mbili mbele baada ya shule kufunguliwa.
Wazazi kama mwanao alienda JKT tarehe 12/6 wasiliana naye ama mtumie nauli yupo nje anapunga upepo!
Angalia hii hasara nyingine kwa Taifa.Wame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
tatizo wazazi ufikiri kuwa akienda ana ajiriwa wakati siku hz connection,kusali sana na bahati ndo kila kitu mambo ya jeshi bhna Amna jipyaBora hata tena wamshukuru mungu kule hamna jipya ujinga tu
Nilichaguliwa na nikaenda baada ya wiki mbili nikapokelewa.....alafu kumbuka unaposema hvo akienda mtoto wa mtu mkubwa anapokelewa na hawa wengne ndo hvo wanarudishwa kumbukaKijeshi kuchelewa dakika moja ni dhambi isiyosameheka.
Pia tujifunze kuzingatia muda. Binafsi nawapongeza kwa hatua waliyochukua ili kuwa funzo kwa wengine.
Jeshi la CCM wala sio la wananchiHahahaaa kuzingatia mda pia ni sehemu ya mafunzo ya jeshi nyie ambao hajapita jeshink mnadhani jeshi nisawa na vikundi vya upatu sio?
Ilitoroka jeshini mpaka leo nadunda tuWahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho.
Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi mpaka asubuhi kwaajili ya usalama wao na leo asubuhi wametakiwa kurejea kwao. Nidhamu ya jeshi ni msingi wa jeshi imara! walidhani ni kule sekondari mtu anavuta wiki mbili mbele baada ya shule kufunguliwa.
Wazazi kama mwanao alienda JKT tarehe 12/6 wasiliana naye ama mtumie nauli yupo nje anapunga upepo!
mbona nipo ila uliniacha hoi uliposema ukapiganie nchi had ufe vitani ili nchi iwe salama,nikakufaanisha na mabaharia wanao tumia dawa ya kuongeza nguvu eti wanakomoa k na mwisho wa siku wanakufa wao k inaendelea kuwepoViagra tena mzee ulipolea wap umeibuka tu kama mzimu😂😂
Sio kweli Mkuu,hawa madogo wanahitajika sana kambini na jeshi limekua likisisitiza wao kufika,kufukuzwa kwao ni sahihi hawana nidhamuJeshi linajaribu kubana matumizi kijanja
Sema changamoto ni kutoa agizo ndani ya siku kumi waripoti lakini mtoa maagizo hajui hali ya maisha ya huyu kijana.Sio kweli Mkuu,hawa madogo wanahitajika sana kambini na jeshi limekua likisisitiza wao kufika,kufukuzwa kwao ni sahihi hawana nidhamu