Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

Tuseme ndio wamewakazia jumla? au usikute baadae watalegeza, watatoa tangazo la kuwaita?
 
Kwani ni lazima au hiari hayo mafunzo ya jkt??
Kama ingekuwa ni lazima basi wote wanaomaliza na kufaulu wangekuwa wanachaguliwa lakini huwa wanachukuliwa wachache wengine wanaachwa hivyo hayo mafunzo hayana mantiki yoyote..
 
Yaani ingekuwa mie ndio nafika naambiwa umechelewa rudi nyumbani!! Weeeeh nisingesubiri hata amalizie sentensi, ningetimka kama mwizi niwaache na upuuzi wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
warudi tu nyumbani watusaidie kuokoteza mazao mashambani,kule jkt ni kupotezeana tu muda hakuna cha uzalendo wa nini, nchi hii wote wanaotuibia wengi wao wametoka hiyo jkt hadi wanauza ardhi zetu kwa wageni
 
Wame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
nyinyi ndiyo munaambiwa deadline ya kutuma application ni saa sita mchana wewe unatuma saa saba. Lazima ujifunze discipline ya muda.
 
Hivi jamni ili nipate refa kuingia jeshi natakiwa nifanye taratibu zipi ili nizame maana magamba yapo tu yametulia ndani nataka nianze kuyatumia mwenye kujua aniinbox aseee nipo na wito na jeshi Toka ktk chemba ya moyo nataka nikapigane kufa kupona ili inchi iwe salama
 
ndiyo maana wamepelekwa JKT wajifunze nidhamu siyo vitabia vyao walivyovizoea kule makwao. Hao wataendelea kuwa wa hovyo hata makazini. Ajira iwe kwa sharti la kufuzu JKT wajifunze ukakamavu na nidhamu hata makazini
 
kwa wenzetu walioendelea siyo jeshini tu hata ukichelewa ku-submit kazi yako kwa dakika moja haipokelewi.
 
Yaani ingekuwa mie ndio nafika naambiwa umechelewa rudi nyumbani!! Weeeeh nisingesubiri hata amalizie sentensi, ningetimka kama mwizi niwaache na upuuzi wao.
na ndio nyie mnajidai wazalendo? We hufai kwa kazi yoyte ya maana
 
Utakufa wewe kabla ya nchi kuwa salama.
 
Kwani kuna vita nchi hii,walisha zikwa wengi na nchi haijawahi kuwa salama yaani ni kama vile unashindana na k kwa kutumia viagra
 
Wame kataliwa kwa mjibu wa sheria ipi? Wstanzania hatuko serious kabisa kuchelewa siku moja sio kubwa kiasi hicho.
Wale wale. Yamewakuta wenzio!???
 
Hapo unakuta nyumbani viliondoka muda mreeefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…