Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

Kwanza ilitakiwa warushwe kichura chura, na kwenda kubeba kuni kaweyasi kota changalawe
 
Hapo unakuta nyumbani viliondoka muda mreeefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walipitia kuaga wapenzi wao.

Siku moja niko lodge fulani nyanda za juu kusini. Nyumbi hii bombi hii!!

Binti ametumwa kwenye mkutano wa injili. Alisafiri siku mbili wakati umbali ni wa safari ya saa si zaidi ya 4 tena hakuna kubadili basi.

Alifanya hivi. Alienda mji husika moja kwa moja na kufikia lodge kujivinjari. Kwa wazazi akasema nimempitia rafiki yangu ili twende wote kesho mchana.

Anatoa majibu hayo yuko lodge namsikia. Nilichoka kidogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujenzi wa nidhamu ya kujali muda unaanzia hapo....umeambiwa saa nne unatakiwa saa nne uwe umefika
 
Mnavyo izungumzia hyo issue ya jeshi, kama kitu kikubwa ambacho mtu hakosi kukikosa vile...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama wamekosa warud home kupumzika tu... Hakuna kinacjopungua wala kuongezeka ukienda kujitolea jeshin
 
Bora hata tena wamshukuru mungu kule hamna jipya ujinga tu
tatizo wazazi ufikiri kuwa akienda ana ajiriwa wakati siku hz connection,kusali sana na bahati ndo kila kitu mambo ya jeshi bhna Amna jipya
 
Kijeshi kuchelewa dakika moja ni dhambi isiyosameheka.

Pia tujifunze kuzingatia muda. Binafsi nawapongeza kwa hatua waliyochukua ili kuwa funzo kwa wengine.
Nilichaguliwa na nikaenda baada ya wiki mbili nikapokelewa.....alafu kumbuka unaposema hvo akienda mtoto wa mtu mkubwa anapokelewa na hawa wengne ndo hvo wanarudishwa kumbuka
 
Hahahaaa kuzingatia mda pia ni sehemu ya mafunzo ya jeshi nyie ambao hajapita jeshink mnadhani jeshi nisawa na vikundi vya upatu sio?
Jeshi la CCM wala sio la wananchi
 
Sifa wepesi, ningetafuta kambi ya karibu nazamia huko nani arudi nyumbani na kipara?
 
N
Ilitoroka jeshini mpaka leo nadunda tu
 
Viagra tena mzee ulipolea wap umeibuka tu kama mzimuπŸ˜‚πŸ˜‚
mbona nipo ila uliniacha hoi uliposema ukapiganie nchi had ufe vitani ili nchi iwe salama,nikakufaanisha na mabaharia wanao tumia dawa ya kuongeza nguvu eti wanakomoa k na mwisho wa siku wanakufa wao k inaendelea kuwepo
 
Sio kweli Mkuu,hawa madogo wanahitajika sana kambini na jeshi limekua likisisitiza wao kufika,kufukuzwa kwao ni sahihi hawana nidhamu
Sema changamoto ni kutoa agizo ndani ya siku kumi waripoti lakini mtoa maagizo hajui hali ya maisha ya huyu kijana.

Kakopa nauli weeee! Kakopa tena kakopa. Ikashindikana. Hatimaye kijiji kikatoa nauli kidogo.

Na hiyo nauli yenyewe sijui wanarudishiwa au kama ilivyo ada kwa serikali kuwakamua walalahoi kwa kuwa hawaoni shida zetu.

Milioni mia wanaita hela ya mboga wakati kuna mtu mwaka mzima laki hajawahi kuitumia achilia mbali kuishika.
 
Si washukuru tu kuepuka mateso yasiyokuwa na tija. Unless wanataka kuwa askari baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…