Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Airtel kule x Bado zile tweet hawajazifuta
Server huijui?Proxy inakuaje?? Una maanisha ni AI ile
Sasa wazifute za nini si unaziacha tu kwa ajili ya ukaguzi zaidi umepigwa nje umepigwa ndaniAirtel kule x Bado zile tweet hawajazifuta
Server naijuaServer huijui?
DuuhSasa wazifute za nini si unaziacha tu kwa ajili ya ukaguzi zaidi umepigwa nje umepigwa ndani
Proxy ServerServer naijua
Sio muhimuIntroduce yourself please
Unatoka nchi gani ili nione hata uelewa wako
Soma title yako, jibu weka hilo languUnatumia kigezo gan kusema wana akili??
Kama ni mtz basi labda unajilinganisha na ww
Tuelezee mkuu hiyo proxy inakuajeHakuna mfumo uliodukiliwa ila walitengeneza proxy
Naona umejiona unavofanya uchambuzi usio kua na kichwa na miguu!….Soma title yako, jibu weka hilo langu
Unaelewa akili ni nini?Naona umejiona unavofanya uchambuzi usio kua na kichwa na miguu!….
Tofautisha kuwa mbele ya muda na akili??
Akili inapimwa kwa IQ….. na hamna sensa ya IQ mkuu huwa wanafanya average tu nikama estimation ya IQ ya wastan kwa nchi …..
Kuwai kuamka si ndo akili
USA/RUSSIA/FRANCE/GERMAN na BRITISH waliwai kuamka au walikua mbele ya muda kitechnologia wakatawala dunia lakini si kweli kua They are the smartest
Leo hii china, South korean,Brazil,India na Israel wanawakimbiza baadhi wanakula saahani moja
Nadhan umeelewa japo kidogo
Wewe ndo inabidi uelewe nimekufafanulia tu hapoUnaelewa akili ni nini?
Kwann wanahakiwa kirahis ivimamboo motooo mitandaoniii
View attachment 3340517
Usianze kuleta viluga vya IT wa bongo....Hakuna mfumo uliodukiliwa ila walitengeneza proxy