PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa mkuu mimi sijui maana nashangaa watoto wa shule ya msingi kudukua account ya jeshi la polisi tena majirani zetu tu sio Wanigeria au Wasenegal wale mapapa wa hiyo kazi..
Mapolisi Tanzania ni mazezeta tu, wao kazi yao kupiga madili na ulevi uliopitiliza na ndiyo maana utaona polisi hapa Tanzania hajakaa kipolisi kabisa, mtu ana kitambi mpaka kinakaribia kugusa ardhi, unabaki kujiuliza mtu kama huyu ikitokea zali la kukimbiza kibaka anakimbiaje. Yaani mapolisi wetu ni zaidi ya Bongo movie, hawafai kabisa.
 
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma

Kwanza Aliyezushiwa Kifo yeye anasemaje

Huu ni ushahidi tosha,nchi inaongozwa na vibaka watupu, wajinga,kama system zinaweza kudukuliwa kirahisi hivyo na vijana wadogo, non state non security people, jiulize nchi hasimu wetu, si ndio wanajua mpaka Samia ana La La wapi?
 
Unakuwa mjuaji sana lakini hujui; juzi kati Account ya FBI ilidukuliwa na maisha yaliendelea na hakuna aliyefurushwa. Tofauti ya sisi na wenzetu, sisi kwetu kila tatizo ni msumari na solution ni nyundo. Ndio maana unaona issue ndogo tu ya TAL reaction imekuwa treason. Wenzetu kila kitu ni learning curve. Wewe ukiwa kiongozi utaumiza sana watu aiseee. Hauna tofauti na waleeee

Mtu anasema tutakinukisha ( kitu gani hata haieleweki kuwa watakinukisha chakula , choo , kinywaji au watakinukisha nini ?) Anakamatwa eti atakinusha ni kosa la uhaini . Kukinukisha ni kosa jipya la jinai kwa sharia ya Kizimkazi 😂😂😂
Uhaini gani unaofanywa kwenye majukwaa ya siasa . Wako wapi waliokua wanafanya naye njama za uhaini ?
 
Mnachoshindwa kujua ni kwamba hiyo mitandao mloitaja hailindwi na system za ulinzi za ndani ,kama imehackiwa ni udhaifu wa mitandao husika sio IT wa bongo,kwanini wasihack mfumo wa gepg, au MuSe au mifumo ya TRA kama wako vizuri
Mfumo wa TRA huu ambao kila siku unaambiwa mtandao mbovu subiri ukikaa sawa tutatoa makadirio ulipie kodi ndio wewe unaotolea mfano..
 
Wakati kila mmoja anawaza ni shambulizi Toka inje ya mipaka yetu!!!!
Tufanye hivi kwa kila Jambo linaloendelea Sasa hivi ndani ya inchi yetu Tz, hakuna nafasi ya wale wale wasiojulikana na ma boss wao ndo wanafanya haya ili kutusahaulisha vitu vya msingi tulivyo navyo kuifuatilia???!!!! Ikiwemo upotevu wa baadhi ya raia, kesi ya uhaini ya Lissu na maboresho ya Katiba na time huru ya uchaguzi??
Embu tuwaze vyema, kwasasa Kenya Ana changamoto ya utawala na maandamano ya ndani kutokana na uchumi na ufisadi, Binafsi sidhani Kama Wana huo muda wa kuandaa na kutekeleza Hilo tukio. 🤭🤭🤭🤭
 
Wakenya wasije wakamweka Bi Mkora anapandiliwa nyuma na beberu!
 
So far ndo the largest tunasubria itakayoizidi hii

Mifumo ya taasisi kubwa zimekuwa na urahisi wa kudukuliwa, mtihani kweli kweli
Trust me taasis nuingi hiwa hazifanyi review za mifumo yao. Nimefanya pen testing jobs kwa mashirika makubwa, mengi ni kama yamelala, bado wanatumia default password, hawaja implement firewalls. Wao ilimradi wanapat internet tu
Na IT ni kama wamelala, wapo tu wanakula mandazi
 
Sawa mkuu mimi sijui maana nashangaa watoto wa shule ya msingi kudukua account ya jeshi la polisi tena majirani zetu tu sio Wanigeria au Wasenegal wale mapapa wa hiyo kazi..
Uko misinformed; siyo account ya jeshi. Iliyodukuliwa ni Twittwer.... tatizo watanzania sio wajuvi sana... kitu kidogo tuuuu tunaongea kweli... twitter ndio wanamiliki hizo accounts ndiyo maana kuna kipindi walideactivate account ya trump... hii ina maana hata ukiweka additional layers za protection bado twitter ndio wamiliki... so aliyekuwa hacked ni twitter na lazima atakuwa anaongeza layers za protection kwa baadhi ya accounts sensitive... jiulize saizi account ya trump twitter ingekuwa imedukuliwa dunia nzima ingekuwa inaongelea failure ya twitter... ila hapa kwetu tunaongelea failure ya watu wasiohusika. Kazi kweli
 
Ni bora ukae kimya ufiche ujinga kiongozi, unatia aibu...
Hujui chochote mzee, unachangia na wewe uonekane umechangia..
Jaribu kuficha ujinga, unawaaibisha ma IT wenzako... angalia hata hapa julwaani watu wenye ABC za IT wengi wanaona sio issue kivile; kimsingi twitter ndio wamefail....na pengine twitter saiz wanaumiza kichwa kuangalia watafanyaje isijirudie wewe unapiga makelele hapa
 
Trust me taasis nuingi hiwa hazifanyi review za mifumo yao. Nimefanya pen testing jobs kwa mashirika makubwa, mengi ni kama yamelala, bado wanatumia default password, hawaja implement firewalls. Wao ilimradi wanapat internet tu
Na IT ni kama wamelala, wapo tu wanakula mandazi
Kweli kabisa mkuu.

Lakini kwa hili watafanya review na watakuwa macho sana.
 
Uko misinformed; siyo account ya jeshi. Iliyodukuliwa ni Twittwer.... tatizo watanzania sio wajuvi sana... kitu kidogo tuuuu tunaongea kweli... twitter ndio wanamiliki hizo accounts ndiyo maana kuna kipindi walideactivate account ya trump... hii ina maana hata ukiweka additional layers za protection bado twitter ndio wamiliki... so aliyekuwa hacked ni twitter na lazima atakuwa anaongeza layers za protection kwa baadhi ya accounts sensitive... jiulize saizi account ya trump twitter ingekuwa imedukuliwa dunia nzima ingekuwa inaongelea failure ya twitter... ila hapa kwetu tunaongelea failure ya watu wasiohusika. Kazi kweli
Youtube accounts zimedukuliwa pia
 
Jaribu kuficha ujinga, unawaaibisha ma IT wenzako... angalia hata hapa julwaani watu wenye ABC za IT wengi wanaona sio issue kivile; kimsingi twitter ndio wamefail....na pengine twitter saiz wanaumiza kichwa kuangalia watafanyaje isijirudie wewe unapiga makelele hapa
Acha kuropoka, youtube accounts zimedukuliwa..sasa wenye ABC za IT wameshindwa nn kutengeneza mifumo imara ambayo ata Darasa la saba anaweza kudukua.
 
Back
Top Bottom