PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katika pitapita zangu youtube nimekutana na habari za kenya wakireport mifumo ya Tanzania ilidukuliwa ikiwemo Airtel?? Within a day? Je ni kweli

Na ilikuaje hawa watu wenye njaa miaka yote waweze kudukua mifumo yetu ndani ya siku??
Maza alijimwambafy kwamba yupo kwa ajili ya kuilinda nchi.. Wakampa kionjo cha chorus.. Wakadukua mpaka police🥱
 
Wewe ndo inabidi uelewe nimekufafanulia tu hapo
Hujafanya chochote hapo
BTW, unapozungumzia udukuzi unaigusa teknolojia moja kwa moja na kwenye suala la teknolojia Kenya wako juu zaidi ya Tz that's why taasisi nyingi hata mitandao karibu yote ya mawasiliano ma-IT wengi wanatoka Kenya. Programu kama M-pesa zimeanza Kenya kabla ya kusambaa hadi Tz.

Wamedukua kwa sababu wanazifahamu programs kiundani zaidi kuliko watoto wa Samia

POV: wana maarifa zaidi yenu
 
Wana njaa ila wana akili, nyie mna chakula ila kichwani ziro
Akili hawana,wangerudisha kwanza ardhi ya nchi yao inayomilikiwa na watu watatu wengine wote wanazurura tu kama mbuzi wa albadir,hawajui hata watazikwa wapi
 
Hujafanya chochote hapo
BTW, unapozungumzia udukuzi unaigusa teknolojia moja kwa moja na kwenye suala la teknolojia Kenya wako juu zaidi ya Tz that's why taasisi nyingi hata mitandao karibu yote ya mawasiliano ma-IT wengi wanatoka Kenya. Programu kama M-pesa zimeanza Kenya kabla ya kusambaa hadi Tz.

Wamedukua kwa sababu wanazifahamu programs kiundani zaidi kuliko watoto wa Samia

POV: wana maarifa zaidi yenu
M-pesa haikuanza kenya bali tz, nafikiri ilikua 2007, wakenya kwa lobbying wakaipeleka kenya,ikafeli,ikarudishwa tena tz, m-pesa ni ya muingereza,alibuni akiwa bank moja hivi hk.. sikumbuki vizuri,yeye research yake aliona tz ndipo panafaa,na alikua sahihi, hakuna sehemu duniani kuna miamala ya simu kuzidi tz
 
Tulisema mapema; shida yenu mnajifanya wajuaji sana; kudukua accounts za twitter mbona ni jambo la kawaida tu, kimsingi Twitter ndio imedukuliwa kwa kuwa Twitter pia anaretain haki ya kulinda haki za wateja wake.. (kina hadi accounts za watu binafsi zimedukuliwa) and this is bad for twitter pia kwa kuwa inaonekana wameshindwa kulinda wateja nk nk. na kilichokuwa kinafata ni mamlaka nayo kuidisturb twitter ndiyo maana sasa inapatikana kwa VPN kama counter meassure... umesoma IT lakini unajikuta mjuaji tuuuuu
Huelewi chochote mzee, usilazimishe sana kama huelewi uliza usaidiwe..
Ni bora hata kuna jamaa humu kajibu inaweza kuwa ni inside job kuliko mwenzako anayesema kisa ni public API ndio maana imekuwa rahisi kuwa hacked... nyie ndio IT uchwara mnaopewa kazi huko kwenye mamlaka kisa ni mtoto wa flani na flani... kwa huu ujinga kila siku mtakuwa hacked tu...

Mnakuwa hacked mnailaumu twitter , upuuzi tu, wa kulaumiwa ni hao IT wenu uchwara na wasimamizi wa hizo accounts..
 
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma
😆😆😆😆
 
Shida zako nyingi sana. Tafuta hela kijana.

Nilichoandika ni kwamba, Twitter ma You


Ni shida zimekushikia chini ama ni nini? Tafuta hela kijana itakufaa.

Niliandika kifupi sana kwamba Twitter na YouTube APIs are in public domain, being on public domain can be easily maniputed ( as they introduces risk and vulnerability.

Kwa hiyo ni jukumu langu sasa kukufundisha how should the user properly enhance their account security? Kwamba nawajibika kukueleza kuwa Public API can be targeted more frequently? Kwamba Public APIs have weak validation (SQLi,XXS etc) hence susceptible to injection attack?

Kama umehitimu masomo, as you practice you will learn and implement Social engineering and how it is applied to attack Public APIs, and maybe you'll learn why Public APIs are high-value targets.

Acha ujuaji, haikusaidii. Narudia tena, tafuta hela. Itakufaa!
Mambo ya pesa na mada tunayozungumzia hapa vina uhusiano upi?
Umeandika ujinga kwa kujitia unaifahamu CS, IT na cyber kumbe bogus tu, na mtu kama wewe kama ndio mpo huko mamlakani mtadukuliwa kila siku...

Yaani kuna watu ni wajinga wa mwisho, hebu na wewe onyesha hio public API unaweza kuitumia ku hack hata account ya mkeo...

Hapo unakuta ni shambulizi la social engineering tu kawaida, kutumia weak password ama hata kukosa 2 step auth..
Unajitia ujuaji eti API zipo public.. ujinga ujinga tu...
Nimekuambia soma CRUD operations, create, Read, Update na delete uelewe hata kwa ufupi ops za API..
 
kuidisturb twitter ndiyo maana sasa inapatikana kwa VPN kama counter meassure... umesoma IT lakini unajikuta mjuaji tuuuuu
Ni bora ukae kimya ufiche ujinga kiongozi, unatia aibu...
Hujui chochote mzee, unachangia na wewe uonekane umechangia..
 
inasikitisha sana mtu anajisifu kusoma CS na Cyber, ukute hata regression tu hajui.

Mambo ya aibu kabisa...
Hakuna mtu kajisifu kusoma CS na Cyber, wala hakuna mahala nimesema nimesoma CS na Cyber...
Kama hujui kitu uliza, usaidiwe, acha na punguza ujuaji...
Umezidiwa point unaanza kuhamia kwenye kutafuta pesa..
Una pesa gani we kapuku kichwani hadi mifukoni?
 
Unakuwa mjuaji sana lakini hujui; juzi kati Account ya FBI ilidukuliwa na maisha yaliendelea na hakuna aliyefurushwa. Tofauti ya sisi na wenzetu, sisi kwetu kila tatizo ni msumari na solution ni nyundo. Ndio maana unaona issue ndogo tu ya TAL reaction imekuwa treason. Wenzetu kila kitu ni learning curve. Wewe ukiwa kiongozi utaumiza sana watu aiseee. Hauna tofauti na waleeee
Achana kupoteza muda na mtu anaye jiona msomi zaidi yako.
 
Wakenya inawezekana wanaingia site nyingi za Tanzania na wanaondoka kimya kimya huko Wizarani mmejaza vizee hakuna kitu wanajua wadogo wengi wapo mtaani angalieni aibu hiyo sasa zile accounts wanazozifanyia kazi wameziacha mkidhani kuwa zipo salama kumbe wapi..
 
Ngoja tuassume sijasoma kabisa. Ili maisha yaendelee; lakini ujue

Zinadukuliwa pages za NASA,FBI na mabenki makubwa duniani itakuwa pages za Tanzania?
Na wanalazimishwa kutoa ransom na wanatoa
Anayeshangaa atakuwa hajui lolote kuhusu hackers. Cc Tui
Sawa mkuu mimi sijui maana nashangaa watoto wa shule ya msingi kudukua account ya jeshi la polisi tena majirani zetu tu sio Wanigeria au Wasenegal wale mapapa wa hiyo kazi..
 
M-pesa haikuanza kenya bali tz, nafikiri ilikua 2007, wakenya kwa lobbying wakaipeleka kenya,ikafeli,ikarudishwa tena tz, m-pesa ni ya muingereza,alibuni akiwa bank moja hivi hk.. sikumbuki vizuri,yeye research yake aliona tz ndipo panafaa,na alikua sahihi, hakuna sehemu duniani kuna miamala ya simu kuzidi tz
Yah ni kweli ilianzishwa na Muingereza lakini kwa ukanda wa East Africa ilianzia Kenya kwa ushirika kati ya Safaricom na Vodacom chini ya kampuni mama vodafone miaka hiyo, kabla ya kuja Tz imeanzia Kenya
 
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma
Polisi Tanzania ni wapuuzi mno, wanazidi kulala kazini na kuwaza namna ya kuangamiza upinzani wakati si kazi yao....wao kazi yao ni kulinda amani kuhakikisha wananchi wako salama. Cha kushangaza wanaacha majukumu yao na kusahau ulinzi wa kazi zao wanahangaika na watu wasio tishio na nchi yetu, matokeo yake ndiyo haya - wanadukuliwa wakipiga punyeto kazini.
 
Back
Top Bottom