Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Inategemea na interview yenyewe na jinsia ya mlengwa maana zipo interview za usiku lodge ili kumpima kuhakikisha akipewa kazi shift za usiku ataweza
 
Bado hujasema...mpaka usemee..[emoji28][emoji28][emoji2297]
 
Haya mambo hutakiwi kuumiza kichwa, inabidi kuishi kiimani; una uhakika gani mitihani yote usahishwa?
 
Ukishaanza kuΔΊinda mwanamke kama mgambo anavyolinda lindo utateseka maisha yako yote.
 
Usiwe na wasiwasi hata wife wangu naye hajarud itakua ni mambo ya delay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…