masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Jamaa kapagawa ila atulie tu...Mapenzi ni hatari sana kama njaa vile hayanaga ujanja 😂
Simu ikizimwa unahisi kuchanganyikiwa
Atarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kapagawa ila atulie tu...Mapenzi ni hatari sana kama njaa vile hayanaga ujanja 😂
Simu ikizimwa unahisi kuchanganyikiwa
Ameenda ya kuingia ya saa tatu, wametoka saa ngapi?
Acha ufala demu haujaoa ushaanza kumfuatilia.Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
[emoji23]Mapenzi ni hatari sana kama njaa vile hayanaga ujanja [emoji23]
Simu ikizimwa unahisi kuchanganyikiwa
Huyo mwanamke hamnazo kweli 😂😂😂
Sakumi kasoro jioni ndo tumeruhusiwa kutoka,tax mgt ya paper la satatu asubuhi.Ameenda ya kuingia ya saa tatu, wametoka saa ngapi?
Sio kweli,sakumi kasoro ndo tumeruhusiwa kutoka.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yaaan alitakiwa saa saba au saa nane awe ashafika nyumbani
Saa Saba walitokaKabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
Sio kweli,sakumi kasoro ndo tumeruhusiwa kutoka.