johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umezingatia zaidi chombo!Kwanini unauliza hivo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezingatia zaidi chombo!Kwanini unauliza hivo ?
Hiyo gari ndogo siyo IT, ina namba T695DNN ingawa IT kupakia abiria ndio zao japo hawaruhusiwi..High speed kills! Dereva kawaponza wenzie kwa misifa
IT maanake ni in transit. Gari au bidhaa zilizopita bandari yetu ila wenyewe ni wa nje ya nchi kama Zambia,Congo etcKwani usajili wa it ni tofauti na zingine? Naomba shule apa
AiseeNa umekopa !
Fikiria tenaMungu awapokee
Ifike mahali wana ndoa wasipande pamoja hasa hizi safari za mbali.
Hakuna IT hapoHizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.
Sina la kufikiria tena, mmoja angepanda, mwingine apande bus au It nyingine.Fikiria tena
Hata wakiendesha private wengine wapande basi wengine Kwa miguu sio?Sina la kufikiria tena, mmoja angepanda, mwingine apande bus au It nyingine.
Maisha ya ndoa ni hapa duniani huwezi sema wataungana kindoa huko Mbinguni.
Wakati naenda mbeya kwenye kesi tulikuwa tunapanda bus tofauti na watoto, in case of anything.
Yes for you only.Hata wakiendesha private wengine wapande basi wengine Kwa miguu sio?
Kwa barabara za TZ kukwepa ajali Ni 40%Yes for you only.
Ebu andika tena labda kuna kitu unataka kunieleweshaNi iT mkuu wapi siyo wakati plate namba inaonekana kabisa
Ok nimekuelewa sasaNi IT 6954. Siku hizi Wana mchezo wa kuongeza herufi kama huyu kaongeza DNN au wengine wanaongeza jina.
Ipitishwe sheria kabisaMungu awapokee
Ifike mahali wana ndoa wasipande pamoja hasa hizi safari za mbali.
Sheria iitweje?Ipitishwe sheria kabisa
Halafu wengi hawana uzoefu wa kuendesha umbali mrefu, nayo ni sababuKusafiri na familia kwa private car hatar SN msimu huu
Wafanye amendment kwenye Road and Traffic Act waongeze kifungu kinachokataza familia kusafiri pamoja.Sheria iitweje?