Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Inaonekana alikuwa speed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muktadha wa Tanzania Familia kisheria utaijuaje? Wakati unajibu hili uwe umesoma na Katiba na Marriage Act na ujiridhishe kuwa hujavunja haki za watu kutekeleza Hilo la Sheria ya familia kutopanda gari moja wakisafiriWafanye amendment kwenye Road and Traffic Act waongeze kifungu kinachokataza familia kusafiri pamoja.
Mkuu hapo maslahi makubwa lazima yaangaliwe. Kupoteza familia na baba na mama kwa wakati mmoja ni hatari sanaKwa muktadha wa Tanzania Familia kisheria utaijuaje? Wakati unajibu hili uwe umesoma na Katiba na Marriage Act na ujiridhishe kuwa hujavunja haki za watu kutekeleza Hilo la Sheria ya familia kutopanda gari moja wakisafiri
Mkuu soma vizuri basi mbona mnapenda kukurupuka na kukanganya umma?Hizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.
Kama tu kufunga seat belt mmeshindwa mtaweza kukagua vyeti vya ndoa/vyeti vya kuzaliwa stendi?Mkuu hapo maslahi makubwa lazima yaangaliwe. Kupoteza familia na baba na mama kwa wakati mmoja ni hatari sana
Magufuli alisema anataka Magari yasafiri usiku,wakapotezea Dsm ukimaliza.mishe zako wengi hawapendi kulala sababu wana jambo mikoaniHizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.
Mkuu umeitendea haki uzi huu,yes Speed kills ILA Kuna sababu nyingi ambazo zinachangia ajali kuliko Speed pekee, iyovi ile pass barabara ni finyu, kona nyingi na Kuna ushenzi wa matuta mengi tu, namba 3 hapo juu ni muhimu, ni LAZIMA kwanza utambue fast na slow corners, breaking point ya kila corner (usiingie kwenye corner na heavy break, uta loose control ya gari),iyovi pass ipanuliwe,ondoa uchafu wa matuta yote, weka alama kubwa na zinazoonekana, all heavy vehicles kuanzia saa 2200hrs ziwe parkedKwa barabara za TZ kukwepa ajali Ni 40%
1. Barabara finyu (head on collision) Ni sekunde tu.
2. Ubovu wa vyombo wa usafiri.
3. Madereva wasio na uzoefu wa kuendesha muda mrefu.
4. Alama za barabarani hazionekani ama zimeondolewa makusudi (wizi) bila mamlaka kurudishia.
5. Huduma finyu za uokoaji (barabara kuu na hospitali) unaweza kuwa majeruhi, ukafia hospitali kwa kukosa huduma ya dharura au ukapata huduma hafifu ukafia nyumbani kutokana na athari za ajali.
Maeneo hatarishi ni kuto ku overtake na kupunguza mwendo, ikiwezekana tembea na 30kmh.Mkuu umeitendea haki uzi huu,yes Speed kills ILA Kuna sababu nyingi ambazo zinachangia ajali kuliko Speed pekee, iyovi ile pass barabara ni finyu, kona nyingi na Kuna ushenzi wa matuta mengi tu, namba 3 hapo juu ni muhimu, ni LAZIMA kwanza utambue fast na slow corners, breaking point ya kila corner (usiingie kwenye corner na heavy break, uta loose control ya gari),iyovi pass ipanuliwe,ondoa uchafu wa matuta yote, weka alama kubwa na zinazoonekana, all heavy vehicles kuanzia saa 2200hrs ziwe parked
Yes,observe, observe, observe, na observe, ukiona its safe to overtake kwanza dereva wa mbele ni muhimu atambue uwepo wako ,chagua Gia hasa kwa manual car, indicates,get closer, foot down kwa gas, tumia few secs to overtake, careful na blind spotsAsilimia 99.9991 ya ajali ni uzembe wa madereva.
Asilimia 0.0009 ni uchakavu wa vyombo na ubovu wa barabara.
Sasa mtu ana overtake hajaona mbele kuna nini anatafuta nini?
120 kwa public transport? Hebu nitajie hata nchi za dunia ya kwanza zinazoruhusu huo ujinga. Au umeandika kuonesha nawewe umoKwa muundo wa magari ya kisasa hiyo 80KPH Ni kuchelewesha watu bila sababu. Dawa Ni kupanua barabara 120KPH Kwa public transport.
NB: road fund inafanya nn miaka na miaka?
Ni sawa ila kwenye kona kali ni muhimu kupunguza mwendo na kuto overtakeKwa muundo wa magari ya kisasa hiyo 80KPH Ni kuchelewesha watu bila sababu. Dawa Ni kupanua barabara 120KPH Kwa public transport.
NB: road fund tunayolipa kwenye kila Lita ya mafuta inafanya nn miaka na miaka?
mmmmm mkuu utakua haupo fair,hii IT imeanzia Dar!,je ni rocket science kujua hao abiria walipandia wapi?,check points ngapi imepitia hadi iyovi pass?,hii IT imepita hadi ile check point matata sana pale sanga sanga!,binafsi yangu kwenye T1, check point ile ni matata sana, na sasa kimezuka kingine pale ipogolo ukishalipita tu lile daraja!Kwanini askari waliokuwa kwenye kizuizi cha Mikumi wasieleze hiyo IT ilipitaje pitaje hapo na abiria wanne?