DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Watu Wanazidi kuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mbona Agent alipa maana hutoa deposit ya value ya gariNa umekopa !
Tena IT wenzao ndo wanawaibiaHiyo gari kama naona vifaa vimeibwa mfano taa nk,yani zimefunguliwa, hazijapasuka
Out of 61,741,120 people, wamekufa wanne.Watu Wanazidi kuisha
Napingana na weweAsilimia 99.9991 ya ajali ni uzembe wa madereva.
Asilimia 0.0009 ni uchakavu wa vyombo na ubovu wa barabara.
Sasa mtu ana overtake hajaona mbele kuna nini anatafuta nini?
Mkuu ni IT kwa namba za T hazizidi namba tatu. Hiyo inazaidi ya namba 3.NB hiyo gari sio IT tusicoment bila kusoma
Rip wote
chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari ndogo, kutaka kuyapita magari mengine bila tahadhari, ndipo wakakutana uso kwa uso, ambapo dereva huyo wa gari ndogo ni miongoni mwa waliofariki.Watu watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wametambuliwa wakiwemo mume na mke, ambao pia ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).![]()
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro , Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa Desemba 26,2022, eneo la Iyovi, Kata na Mikumi, wilayani Kilosa, ikihusisha gari ndogo aina ya Toyota Allion yenye namba IT 6954DNN, iliyogongana uso kwa uso na kwa uso na gari kubwa la mafuta aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili RAE 518C yenye tela namba RL 2686.
Amesema gari ndogo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma, ilikuwa ikiendeshwa na Festo Eliuzima Shoo na gari kubwa lililokuwa likitokea Iringa kuelekea Morogoro lilikuwa likiendeshwa na Muthoni Richard raia wa Rwanda.
Musilimu alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari ndogo, kutaka kuyapita magari mengine bila tahadhari, ndipo wakakutana uso kwa uso, ambapo dereva huyo wa gari ndogo ni miongoni mwa waliofariki.
Wengine ni Grayson Ng’obo mkazi wa Mbeya na Janeth John Luvanda (40), ambao kwa mujibu wa Kamanda huyo taarifa walizopata Grayson na Janeth ni mume na mke.
Aliwataja wengine waliofariki dunia ni Oswald John Luvanda (42) mkulima na mkazi wa Mbeya, ambaye ni ndugu wa Janeth Luvanda na John Davis Haule (37) Mwalimu wa shule ya Wanging’ombe iliyopo mkoani Mbeya.
Katika hatua nyingine uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Kanda ya ya Mbeya umetoaa taarifa kuwa Grayson Ngogo na Janeth Luvanda waliofariki kwenye ajali hiyo ni wanafunzi wa chuo chao.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa wanafunzi hao walifariki kwenye ajali iliyotokea mkoani Morogoro na kuwa taratibu nyingine zitaendelea kutolewa.
Ukichukua tahadhari zote unafika salamaNapingana na wewe
Miundombinu yetu ni mibovu
Barabara finyu, viraka, mashimo, matuta, Giza
Dereva anakuja mwishoni kabisa usingizi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na kila sekunde 20 mtoto anazaliwaOut of 61,741,120 people, wamekufa wanne.
Negligible. Hakuna effect.
Inakuwaje hapa,,Imeisha hiyo au unalipwa?Na umekopa !
Taa na bamba zote manina wahuniHiyo gari kama naona vifaa vimeibwa mfano taa nk,yani zimefunguliwa, hazijapasuka
Kwani hizo mambo za kuchukuwa faida kwenye ajali niza watu kaskazini tuWewe ni Mkaskazini?
Wahuni sio watu kabisa aise, nasikia sometimes wanawamalizia watu ili waibeTaa na bamba zote manina wahuni
Public transport 120? Mkuu labda tuanze na hili swali kwa uelewa wako public transport ni nini.Tembelea nchi za SADC eg. Botswana na SA utaelewa
Kwani hiyo gari ni ya IT!? Mbona iko registered na no za Tanzania!!??December mwaka jana nilipoteza brother wangu katika ajali kama hiyo ya IT mkoani Iringa.
Toka hapo sijawahi shauri mtu kutumia usafiri huo maana si salama japo ni wa haraka.
Pole ziwafikie wafiwa wote.
Kama ni mkopo,lazima gari itakua na Bima kubwa!!Na umekopa !