Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

Hata wakiendesha private wengine wapande basi wengine Kwa miguu sio?
 
Yes for you only.
Kwa barabara za TZ kukwepa ajali Ni 40%
1. Barabara finyu (head on collision) Ni sekunde tu.
2. Ubovu wa vyombo wa usafiri.
3. Madereva wasio na uzoefu wa kuendesha muda mrefu.
4. Alama za barabarani hazionekani ama zimeondolewa makusudi (wizi) bila mamlaka kurudishia.
5. Huduma finyu za uokoaji (barabara kuu na hospitali) unaweza kuwa majeruhi, ukafia hospitali kwa kukosa huduma ya dharura au ukapata huduma hafifu ukafia nyumbani kutokana na athari za ajali na huduma za ovyo ulizopata hospitalini
NB: kuishi TZ chances ya kufa kwa ajali au uzembe hospitalini Ni 90% ndio maana biashara ya majeneza inalipa, soon wauza majeneza wataanza kudhamini Ligi kuu kama sio mbio za magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…