ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Shetani akikuona wa maana ujue HUFAI kabisa kwa Mungu.Kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu,pambana na hali yako,si umemuona Maalimu halafu huo usaliti mbona haupo kwenye ruzuku anayochukua Mbowe?basi kataeni na ruzuku ndio tuwaone wa maana.