Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Dada Rebeca, kubali kuwa Halima kaharibu mno. Nadhani hata yeye haamini upepo ulivyogeuka. Aombe msamaha atasamehewa ila kamwe heshima yake haiwezi kurudi.
Akishaomba msamaha akale wapi? Mnajua kweli mnachokiongea? Mtu ka-invest miaka 15 kwenye siasa, maisha yake ni siasa.. Leo chama chake kimekufa unataka aendelee kufight na kitu kisicho na maslahi?
Siasa ndio maisha yake, Kama kweli mnasimamia demokrasia mwacheni afanye maamuzi binafsi .

*Usinitukane.
 
Akienda bungeni anaenda kuendelea kuwawakilisha nyie nyie mliompigia kura, hakutakuwa na tofauti mwacheni aende
Taratibu zipo wazi.
Afuate kanuni zilizowekwa na chama chake ili awakilishe wananchi.
Hata huko CCM huwa wanafuata taratibu walizojiwekea ili kupata wawakilishi
 
Halima Mdee anasema na nishukuru mwenyekiti wangu wa chama kwa kuturuhusu,... Aisee..!
Mbowe akiwasamehe ujue lao ni moja. Amezuga tu wananchi kwa kujifanya kuwatimua ili kutupotezea maboya

Inaitwa funika kombe mwanaharamu apite
 
Mbowe akiwasamehe ujue lao ni moja. Amezuga tu wananchi kwa kujifanya kuwatimua ili kutupotezea maboya

Inaitwa funika kombe mwanaharamu apite
Kwani walikuwa na kosa gani hadi kutimuliwa uanachama?? Acheniii ujingaa
 
Taratibu zipo wazi.
Afuate kanuni zilizowekwa na chama chake ili awakilishe wananchi.
Hata huko CCM huwa wanafuata taratibu walizojiwekea ili kupata wawakilishi
Ipo wazi kuwa uongozi wa chadema usingekubali
 
La kuwapa maelekezo mahakimu usingelipinga?
 
Barua ya kupeleka wabunge wateuliwa wa chadema ipo dhahiri ukizingatia wameshaapishwa CCM NA NDUGAI ZIBENI MASIKIO WABUNGE WA CHADEMA FUNGENI MACHO EVERY IDENTITY STILL THERE KAZI IENDELEE KWA WABUNGE HAWA 19 FUNGU LAO LA RUZUKU LIPELEKWE CHADEMA WATAKAPOZIONA FEDHA WATAKAA KIMYA AT FINAL CDM JENGENI CHAMA UPYA HUKU MKIJUA HAO WABUNGE WATEULIWA SIO NDUGU ZENU TENA
 
Dada yetu Mdee na genge lake pamoja na mama "Nanjengwa" hatuna shida na nyie, tunajua mashinikizo mliopata hasa kuhusu kutakatisha fedha, madeni yenu bungeni, kesi za mdee na wenzake kule Kisutu na kesi ya Hanje ambaye aliambiwa ataozea jela kama wana -uamsho, tusiwawalaumu hawa, tuwaombee na sasa kwakuwa wameanza kujitambua watajivua ubunge waliopewa kw usaliti na kurudi chamani-CHADEMA.
 
Try to be very understanding and mature-kwenye hili tumia busara na hekima kuliko mihemuko,Je,unaelewa machungu wanayopitia baadhi ya wafuasi wa vyama vya upinzani kwa kupoteza ndugu,jamaa,na marafiki kwa vifo? Je,Unaona ni jambo dogo wafuasi wa vyama vya upinzani kuozea kwenye jela pasina haki angali COVID 19 walikuwa viongozi wao? Je,Unadhani ni sahihi COVID 19 kushiriki tafrija kwa namna ya dhuluma wakati hata wafiwa hawajamaliza arobaini ya misiba? sometimes we need to be human....Kiongozi bora lazima ajua machungu na maumivu ya anaowaongoza na sio tamaa zake binafsi-kiongozi lazima uwe good comforter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…