Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji12] watu wabaya nyieSidhani kama kuna mwenye uwezo wa kumiliki smart phone kwa hiyo hawajui hata kinachoendelea humu JF. Hasara.
sasa kwanini hataki kuwaongezea mshahara wenzake wakati anajua ni mdogo toka akiwa mwalimuHakunifundisha,ila nilipata yafuatayo,he had no permanent friend,busy most of the time,alikuwa analalamika mshahara mdogo ndo maana alifanya maamuzi ya kujiendeleza ili apate mshahara mnono zaidi🙁
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...unamaanishaInawezekana wengi waliishia kuwa wavuvi
Mwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa kufundisha ulikuaje?
Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?
Hujafa hujaumbikaUkimaliza na hao usisahau na kuwaita wale waliokuwepo wakati Zee lako linajinyea!
Haha ha haAlikuwa Mwalimu bora na akifundisha kemia lazima uelewe kweli kweli.. maana alikuwa ni msema kweli na akikuambia utafeli lazima ufeli...
Wewe kweli umepita Sesesco a.k.a Singapore. Huyu bwana huyu... Alifanya watu wengi wachukie Chemistry kwa ukali wake hata pasipo sitahili, kama ambavyo wengine waliichukia Geography sababu ya Mwl Chilimila.Bosi Mimi nilikuwaga bweni la wajanja Mkwawa karibu na chaka, niliwahi kupigwa suspension baada ya kukutwa nimejificha 'Room7' na wenzangu mida ya class, nakumbuka mwaka 2002 kwenye graduu ya form6 alialikwa Magufuli (kipindi hicho waziri kijana) kama mgeni rasmi akatupiga changa la macho atatuletea TV kubwa, hadi natoka sikuiona. Sesesco bonge la shule sema migomo ilifanya iharibike, mabweni yote hayana vioo madirishani, binafsi nilisoma miaka miwili (2002-2003) wazazi walipohamia Songea kikazi wakanihamisha
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alikuwa Mwalimu bora na akifundisha kemia lazima uelewe kweli kweli.. maana alikuwa ni msema kweli na akikuambia utafeli lazima ufeli...
Mkuu.duuuuh[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]Inawezekana wengi waliishia kuwa wavuvi
Bosi Mimi nilikuwaga bweni la wajanja Mkwawa karibu na chaka, niliwahi kupigwa suspension baada ya kukutwa nimejificha 'Room7' na wenzangu mida ya class, nakumbuka mwaka 2002 kwenye graduu ya form6 alialikwa Magufuli (kipindi hicho waziri kijana) kama mgeni rasmi akatupiga changa la macho atatuletea TV kubwa, hadi natoka sikuiona. Sesesco bonge la shule sema migomo ilifanya iharibike, mabweni yote hayana vioo madirishani, binafsi nilisoma miaka miwili (2002-2003) wazazi walipohamia Songea kikazi wakanihamisha
Wewe kama huijui Jf kaa kimya usijipake aibu kwa kitu usichokijua. Humu kuna watu wa kada zote na wengine huwezi amini wana mamlaka makubwa nchini. Kwa kujua hilo ndo maana Wakubwa wanahangaika na Jf kwani wanajua Impact yake kwa jamii. Wao sio wajinga wahangaike kufuatilia kitu kisicho na Impact yoyote. Mambo mengi yanayoumiza wakubwa vichwa aidha yameanzia Jf au yamepata msukumo Wa Jf. Hii siyo ya kudharau, hata hao waliokutuma upost kipost chako humu wanakushangaa unapoidharau Jf eti ina percent 0.0.......!!!!??? Aibu yako, hata wewe??Mnadhani jf kuna kila mtu? Humu kuna asilimia finyu sana ya wananchi wa Tz, 0.000000000001%, so msipatage orgasm sana kwa mihemuko inayotukia humu. No effect at all. WAatakuwa busy na issue zao labda wapo fb.
Yes! Namkumbuka vizuri Elifuraha.mkuu umenikumbusha mbali sana nilikua mkwawa room 5 middle. Kipindi hicho mkuu ni Mpemba. mwalimu mkongwe wa maths alikua ELIFURAHA na huyu ndo mwenye historia ya mkulu walifundisha wote.
Pale Agenda muhimu inapokuwa adimu huibuliwa agenda mbadala kwa namna hiiMwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa kufundisha ulikuaje?
Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?
Hahahahahahaha we mubayaaaMletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza