Hahahahaha hahahahaha, mkuu umenikumbusha enzi za mabuga,bogozwii,nkuyege na babu nhangi jilala hatariii,hata mkulu alikuwa noma kwenye kemia alifundidha bila kitabu,ni noma.Kabla hatujaanza kuchangia tujuzane kwanza ya Sengerema kipindi hicho HM Matu, kwa waliofikia mabweni ya Milambo au Kibasila na wapenzi wa kujifichà Chaka ambako ukionana na Mwalimu CHILIMILA utasafisha seawage wiki nzima. Kama huyajui haya wewe siyo wa SESESCO usichangie.
Wanaopita JFwanachama na wasio wanachama ni zaidi ya million mbiliMnadhani jf kuna kila mtu? Humu kuna asilimia finyu sana ya wananchi wa Tz, 0.000000000001%, so msipatage orgasm sana kwa mihemuko inayotukia humu. No effect at all. WAatakuwa busy na issue zao labda wapo fb.
Wakokozi na zile nyimbo zao za matusi plus ule mmea wa kijani maisha yoote A to Z Kisiwani.Inawezekana wengi waliishia kuwa wavuvi
Wewe ulikuwa mwanafunzi wate. Mbona unazungumza kama mtu wa art?Tunashindwa kujibu maswali kuhusu jpm akiwa mwalimu sesesco tuliofundishwa na yeye tuna mengi ya kusifia lakini kwa mtizamo wa JF mtu hawezi toa maelezo ya kuwatosheleza kila mwana JF akaridhika maana wengi humu wameathirika kwa utendaji wake aidha wengi wetu humu JF walikuwa wapiga dili, wanaishi kwa ujanja ujanja
Vip mbna povu la sabuni za mapapaiUkimaliza na hao usisahau na kuwaita wale waliokuwepo wakati Zee lako linajinyea!
Wewe kweli umepita Sesesco a.k.a Singapore. Huyu bwana huyu... Alifanya watu wengi wachukie Chemistry kwa ukali wake hata pasipo sitahili, kama ambavyo wengine waliichukia Geography sababu ya Mwl Chilimila.
Humu jf huwezi danganya mtu. Kama Raisi na mawaziri wanadanganya ila wanadabuka sembuse wwMaswali mengine, si hata mimi nitaweza kutunga na kurusha. Yaani utajuaje kama nasema ya kweli au uongo?
Akikuambia ukweli na mimi nami nitasema ukweli wangu hapa hapa kisha wengine watafuata.Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
Mpemba ameshafarikimkuu umenikumbusha mbali sana nilikua mkwawa room 5 middle. Kipindi hicho mkuu ni Mpemba. mwalimu mkongwe wa maths alikua ELIFURAHA na huyu ndo mwenye historia ya mkulu walifundisha wote.
hahahahahahah jf ukiwa na presha unaweza kukata rohoSidhani kama kuna mwenye uwezo wa kumiliki smart phone kwa hiyo hawajui hata kinachoendelea humu JF. Hasara.
Aiseeee....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sidhani kama kuna mwenye uwezo wa kumiliki smart phone kwa hiyo hawajui hata kinachoendelea humu JF. Hasara.
Mkuu....Alienda kusoma,kabla hajatimiza vigezo mshahahara ukasimamishwa
Unajifanya humkumbuki Mwl Kasanda?Alikuwa mwalimu mihasira hasara sana! Bora alivyoacha make bakora zake zingeua wengi...
Credit kwa Mwl Shendu,swahiba na walifundisha wote Sesesco!
Wanaopita JFwanachama na wasio wanachama ni zaidi ya million mbili
Unajua Magu alishinda kwa kura ngapi
we make an impact ndio maana wanataka kutujua sisi ni nani