Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Mzee baba, kwa mtu aliyesoma PCM, Mathatics ndo somo rahisi na hata matokeo yanaonyesha hivyo kwa ufaulu mkubwa somo la Mathatics kuliko somo la Physics.

Lakini naelewa kama kwako wewe Mathatics ndo' ngumu maana vichwa havifanani
Sehemu kubwa ya physics n basic za calculus
Yani kama maths mweupe physics ndio hautuboi

Pili, physics watanzania wengi msingi wao mbovu, na walimu wengi wa physics Tanzania ni weupe sana

Bila maths physics haiendi, ila maths anasimama yeye kama yeye

Calculus
Differential equations
Probability
Algebra (1&2)
Coordinate geometry (1&2)
Complex numbers

Inabidi uwe mtu kweli kweli
 
[(128*3) +(125*2) + x ]/6 = 126
Tafuta thamani ya x
Asante sana mkuu. Nyongeza kidogo.
=====
Kwa mtiririko ili aelewe mlinganyo uandikwe hivi
{(Sm 128 Γ— wanafunzi 3) + (sm 125 Γ— wanafunzi 2) + (sm a Γ— mwanafunzi 1)} Γ· idadi ya wanafunzi wote 6 = wastani wa urefu wa wanafunzi wote 6 ambao ni sm 126.

Kwa hiyo akokotoe thamani sm a, na hilo ndilo litakuwa jibu la swali hilo.
 
Kuna wengine hizi hesabu ni hobby, yaani wao kisolve wanatiririka tu.
Shock ya kwanza kwenye hesabu, nipale nilipokutana na baadhi ya wanafunzi kutoka chuo fulani wanasema mwalimu wao anasolve hesabu za calculus kwa kichwa. Yaani hizo za mikia anakubandikia jibu tu!!! Hawakuacha kutaja jina la mwalimu Sembuche kila tulipokuwa tunaongelea habari za hesabu.
 
Fact mkuu huyo jinga aliakua ananipinga Toka kule mwanzo nimejaribu kumwelewesha ila still hapo juu kaendelea kua mbishi na ujuaji Tena ule ujuaji wa kijinga Sana hajui wamisri wa kale walisafiri mpaka Amerika na kuwapa ujuzi wa Aztec, Maya,na baadhi ya makabila ya wahindi wekundu na ushahidi upo kina Columbas Christopher wazungu na majahazi Yao wakifika kule juzi juzi hapo 1400's wakakuta ustaarabu wakasema wamegundua Amerika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakati wenzao walifika miaka ya 225 BC huko na kuwafundisha hisabati,Tiba,uhandisi,elimu ya Nyota,dini na Kila kitu jamii za kule,
Hao Ndio Wamisri na taarifa zao tunazo ila tukijaribu kuwafungua akili wajinga wa kizazi hiki wanakaza ubongo na kuona Kama hadithi za alfu lela ulela Kwa umbumbumbu wao!

Without Accient Black Egyptian,Kush,Dogon
No mathematics!
 
Dah kweli nilikua bingwa wa kukariri, nilikua sikosi swali la matrix lakini ajabu mpaka leo sijui applications zake
Hizo matrix zinatumika kutafuta ninamna gani nguzo mfano za umeme uzisimike na kuzishikiria kwa nyaya ama tatu au nne na za namna gani. Dot na cross products zinatumika pia...ni mambo ya statics hayo. Ipo mifano mingine ya matumizi ya matrix. Wajuzi watakuja kutoa darasa.
 
Hesabu mgumu ni kama yalivyo maisha magumu ila kwa wengine ni rahisi sana.
Ugumu wa Hesabu uimalisha kinga ya mwili na uongeza kujiamini na kujali wengine unakuwa fair, honest, humble na critical thinker.
Maisha ni sayansi ya hesabu.
 
Hesabu is a language of GOD..

Tafuta ktabu iko.. ukimisoma utaona JINSI gan MUNGU alivyoficha siri Za uumbaj wa dunia kwenye Mathematics

Na kuprove ilo mtu yoyote akitaka kufanya uumbaj wa ktu kpya dunian lazma ntumie hesabu,

Mfano

Utengenezaj wa rocket n full of mathematics, Magar, mali etc

Fuatilia michoro ya davinch kuna michoro inayo eleza JINSI mathematics ilivyotumika kuumba mwanadam

MATHEMATICS LANGUAGE OF GOD
 
Kuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache
Discrete mathematics mbona sexy sana tu
1.logic
2.game theory
3.set
4.relation na function
5.number theory
6.combinatorics

Zote hixi zinataka utulize akili tu unatusua vizuri tu πŸ’•
 
Ndo maana hawajaoa, kwa sababu muda mwingi waliutumia kufikiria haya Mambo.
 
Halafu sijui walikuwa wanamkomoa nani
 
Ugunduzi huja pale wanapohitaji kufanya jambo fulani, mfano ni jinsi gani wanaweza kuunda chombo chenye mwendokasi wa mwanga? Katika harakati ndiyo wanakuja na vitu kama general theory of relativity, special theory of relativity,.. n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…