Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ma engineer wana hili jibu ngoja waje.Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Mbona hesabu nyepesi kabisa zile [emoji3]Hesabu kama zile za parabola, dah hatari sana.
Wengine ni hobby tu kama ilivyo kwa wengine kusafiri, kulima etcKusoma Sana ni uwoga wa maisha na pia huuchosha mwili
Hehehe jibu kali sana hii heshma yako broKila kitu linatumika penye uhitaji.... Ukiwa Bara Huwezi ona matumizi ya nanga... Mpka uwe baharini
Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Kuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache
daaaaah, et laplace, hizo hesabu ni upotezaji tu wa muda,kuna Yale ma matrix ya 6by6.ni ushenzi tu,yalinitesa sana na sasa bado nateseka na maisha kitaa.what a loose of time.Kuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache
Fourier Series sijui...inatamkwa hivyo..Kuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache