Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Kilichonifanya nikwepe kwenda PCM badala yake nika opt PCB yalikuwa ni maandalizi ya kuikwepa hesabu, maana niliona usumbufu kila ukihitaji kujua hesabu fulani lazima ukae kwenye kiti ujipinde mgongo uandike andike kwenye karatasi. Wakati kwenye bio-medical sciences ukishameza vitu vyako vyote vya muhimu na kujua sehemu za ku-refer umemaliza mchezo. Hata wakuletee mgonjwa kashindikana vipi, ukishajilaza kama nusu saa tu na ku retrieve vitu kichwani tayari umeshajua aina ya ugonjwa na tiba.....
 
wenyewe wa PCB na PCM wanakwambia hesabu ndio ya kupumzikia[emoji28][emoji28][emoji28]

kweli duniani tuko tofauti sana.
yaani aliyefaulu masomo yote alama za juu anaonelea bora akapumzike kwenye hesabu PCM kuliko kukumbana BIOLOGY ya PCB.
 
Hesabu zinamatumizi...mfano matrix ndo zinatumika kujaza upepo matairi ya ndege
Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..

Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
 
Hesabu ni somo linalochukiza sana.
Tangu napata ufahamu nikiwa primary nilikua nafeli tu hesabu. Darasa la 4 mpaka la 7 nilikua napata 10% mpaka 20%, yaani 5/50 mpaka 10/50. Inshort primary nilikua mbumbumbu na mwonekano wa kimbumbumbu, mpaka nikawa nafananishwa na kilaza wa darasa, nikawa naitwa kwa jina la huyo kilaza.
Nilivyoanza sekondari nikaanza kujifunza mwenyewe kwenye kitabu bila kufundishwa. Nikawa najifunza mwenyewe kwa muda mrefu, kidato cha pili NECTA nikapata C (49%). Kutoka 10% - 20% mpaka 49% nikaona kumbe inawezekana!, likizo ya form 2 kwenda form 3 nikakazana nikawa najifunza mwenyewe kitabu cha form 3. Midterm ya form 3 nikapata 78% kumzidi aliyeongoza shule nzima kidato cha pili, yeye midterm alipata 77%, nikapata moyo zaidi. Nikamaliza book 3 na book 4 harakaharaka nikiwa form 3, nikiwa form 3 nikaanza kufanya mitihani ya form 4 na wanafunzi wa form 4, nikawa nawakimbiza form 4, grade As zikawa za kumwaga. Form 4 NECTA usiulize, nimetoka na banda la number.
 
Sisi wenyewe DJs tunatumia sana hesabu just imagine kuna mtu hajui matumizi ya hesabu katika maisha [emoji23][emoji23]

Producer na DJ ni kama wanafanya kazi 1 tu na kazi zao wote zinatumia hesabu kabisa sema tofauti ni mazingira ya professionals zao wanapozitumia, Ili uweze kumix nyimbo lazima ujue BPM/Tempo ya nyimbo husika (Yaani mkito kwa dakika/beat per minute) na ili uweze kumix nyimbo zenye utofauti mkubwa wa bpm inakubidi utumie technique ya Transition [emoji23] ni hesabu hapo.

Ili uweze kuitumia mshine/DJ controller na Dj softwares zake lazima ujue hesabu kidogo vinginevyo utaishia kuona kama lidude halieleweki na uzuri ukijua kutumia mashine ya aina 1 tu zingine utaweza, Sema yale ma Turntables ndiyo hesabu tupu inatumika na DJs wa kisasa hawayawezi labda wale wa zamani/wakongwe.

So tujifunze hesabu na tuiheshimu hata kama huipendi lakini asilimia kubwa ya maisha ya binadamu yamejaa hesabu, Hata mdada wa kazi anaesonga ugali na kupika wali nyumbani anatumia hesabu! Si mnahesabugu idadi ya vikombe vidogo vya chai vinne ni KILO moja hiyo [emoji23] na mnakadilia kabisa kilo wanakula watu wangapi..

Utaikwepa hesabu skuli ila home utaitumia tu utake usitake, hesabu ni kama MAJI YA KUNYWA hata MWENYEZI MUNGU Ameitumia katika uumbaji wake wote wa ardhi na mbingu na vilivyomo.
 
Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..

Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Na pia Hesabu za Logic (Sequence and Series) zinatumika sana kwenye utengenezaji wa electrical circuits, transistors na zile simu za mezani(ck hizi ni chache sana).
 
Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..

Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Banking of roads.
Anyway,
Kwa wale wababe wa hizo hesabu, kuna maswali kadhaa ya Hesabu yanaitwa "Millennium Problems" , ukiweza kuyapatia ufumbuzi unapata pesa na mazagashazi mengine.
 
Waafrika ni vilaza wa kugundua fomula za hesabu ila wanaweza kuzikariri. Unakuta mtu ni Prof ila hajawahi gundua formula yoyote ya maana.
Kuna jamaa anaitwa Terence Tao ndio mchawi wa hesabu wa kizazi cha sasa.
Waafrika tunatia huruma sana ndio maana hatuna teknolojia za maana.
Sisi tuambie mdumange, gobogobo,mahngoma, mchiriku,amapiano, singeli, ndomboro nk mzungu zmanasibiri.
 
Wamisri wa kale ndio waasisi wa mahesabu makali yaani wale binadamu walikua balaa chanzo Cha kupata ujuzi huo ni viumbe visivyo vya kawaida kutoka anga za juu walivyoviita miungu!
Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.
 
Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.
Mkuu; ma pyramid ni kivutio cha utalii lakini pia ni fikirishi.Watu wanajiuliza ni kwa namna gani yale majabali/mawe/matofali makubwa na mazito hivyo yalifikishwa kule juu na hao waliokuwa ni mafundi/wajenzi? Kwa hiyo watu wanachemsha bongo na kugundua au kuendeleza pale alipoishia wa mwanzo. Hata hiyo kompyuta unayotumia leo 2021 haikuwa hivyo mwanzoni. Unaikumbuka Kompyuta Makintosh? (may be spelling nimechemka)
 
Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.
inaonesha jinsi Gani ulivyo kilaza Hivi bila Yale mahesabu waliyogundua wamisri Kuna kitu Cha maana kinachotumia mahesabu kingetengenezwa Leo?
Jisomee ujue ujuzi wa Siri ulifichwa misri Karne nyingi ulichukuliwa na napoleone hata Hittler chanzo Cha ujuzi na nguvu wa vifaa vita zenye mahesabu makali alibeba huko misri
Kingine Kama hujui michoro ya kwanza ya Computer ilichorwa na Leonardo Da Vinci miaka ya 1400's kilichomfanya awe na ujuzi huo ni documents zilizobebwa na Vatican kutoka huko misri yeye Ndie Alikua bingwa wa kutoa code Kwenye maandishi ya kale

Usidhani Kila unachokiona kilishushwa Toka angani broo!
 
Back
Top Bottom