Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
To prevent a car from skiding,
Inaitwa angle of banking
Tatizo walimu wanaotufundisha ni wale waliopata division three, yaani mwalimu haelewi anachokifundisha, mfano sisi ticha wetu wa chemistry alifundisha orbital kwa miaka yote miwili mpaka tukambatiza jina orbital, yaani anachokifundisha yeye mwemyewe hakielewi,
Ticha wa Mathematics anafundisha Intergration ukimuuliza swali anasema vijana mnajifanya mnajua sana 😄.
Kiufupi ni kwamba hesabu ni lugha rahisi ya kuelezea scientific experiment au findings,
Jamaa haelewi kuwa bila trigonometrical ratio huwezi kupata vipimo vya kitu kilichokatika angle,
Wengine wanasema logarithm hazina kazi 😃 hawajui kuwa bila logarithm kipimo cha PH kisingekuwepo, hii maana yake ni kwamba watu huwakuelewa walichofundishwa,
Mtu hajui kuwa trigonometry inatumika kwemye projectile motion kurusha kombora au mpira kikapuni
Ukitaka kujua kuwa humu ndani kuna wajinga wengi soma comment kuanzia page ya kwanza mpaka ya nne, tena wengine wamesoma advance kabisa wanakuambia Malaika ndio walishisha hesabu